Home
Unlabelled
sierra na samia wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni sana maharusi kwa kweli mmependeza sana, nawatakia maisha mema ya ndoa yenye furaha na amani.Mungu awajalie upendo katika nyumba yenu.
ReplyDeleteWapambe wanaonekana wana sura za furaha kuliko maharusi wenyewe... kulikoni?
ReplyDeleteHongereni sana.lakini nina, swali la kizushi,mbona bi samia (bibi harusi) kanunua sana wala ajafurahi what happen?
ReplyDeletePia mbampe wa bwa harusi -afya unayo hongera njoo,huku tubebebe mabox???
teheeteehe?
Hongereni sana. hamna makuu.
ReplyDeletewapambe wanameremeta wana raha kweli maharusi vipi jamani siku yenu mbona no smailooo???
ReplyDelete-Hongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeera sana kaka yangu,i wish ningekuwepo...lakini usikonde,tutaonana tu....
ReplyDeleteMtoto wa Kileme,
maharusi ni mabikra wanawazia usiku wao wa kwanza maana unatisha
ReplyDeletewapambee wazoefu tayari ndo maana wanaraha tu
majina yenu mazuri maharusi!!
mpambe wa k=mume sio mchezo,njoo tubebe boksi,mambo yawe mswano.
ReplyDeletehongereni sana wakina uncle.
ReplyDeletemsimbazi,centre.