WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) DR. BATILDA BURIAN WA KWANZA (KULIA ) ALIYEVAA NGUO YA KIJANI AMEUNGANA NA WAANDISHI WA HABARI WA MATAIFA MBALIMBALI WAKISIKILIZA MWELEKEO NA MATAMKO YA VIONGOZI WA NCHI MBALIMBALI DUNIANI KWENYE MKUTANO WA MABADIILIKO TA TABIA NCHI YANAYOENDELEA KWENYE UKUMBI WA BELLA CENTRE HUKO COPENGAHEN NCHINI DENMARK. PICHA NA ANNA ITENDA -MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TULIJADILI HILI WATANZANIA

    KAKA MICHUZI HABARI YA KAZI NAOMBA TUJADILI HILI ,HIVI HIII SERIKALI YETU INAJUA KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI BINAFSI HAIWAPI WAFANYAKAZI LIKIZO?WANALIPA NSSF YA MFANYAKAZI TUU YEYE MWAJIRI HAWEKI?UKIACHISHWA KAZI HUNA UNALOLIPWA?UKISHITAKI HUNA UNALOPATA KWANI WANAHONGA MNO?JE TUTAFIKA KWELI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...