Home
Unlabelled
ummy na bonna wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mashaalah jamaa kachagua! naomba contact za wifi nami nijaribu!
ReplyDeleteMhhh diet muhimu kha !
ReplyDeleteBalozi Mtiro, nadhani ujiandae tu na harusi nyingine. Huyo mdogo wake Ummy nadhani yuko tayari, well, na mimi nipo tayari.
ReplyDeleteMh Cisco!
ReplyDeleteSasa mzee utulivu uchukuwe nafasi yake. Shujaa kaibuka kachukuwa mzigo hivi hiviii. najua wajua kwamba twajua soon utakuwa grand paa kwa umi. Tulia sasa mheshimiwa balozi tuliaaaaaaaaaaa!
hongera sana kaka uliyempigia Balozi mungu awajaalie maisha matamu sii ya kiaina kama ya Mh balozi
Go Rafa Go!!!Go Banitez Go!!! Pompey 2 0 Liverpool.
ReplyDeleteHuyo mtoto amefanana na Ummy, je amemzaa kabla hajaolewa?? Mambo hayo jamani!!!
ReplyDelete"HONGERA MNAMEREMETA"
ReplyDeleteNawatakia kila la kheri katika maisha yenu ya baadaye.
Ingawaje mjomba wenu nipo mbali lakini furaha imenijaa moyoni kuwaona mlivyopendeza katika harusi yenu.
Uncle Mickey Jones
Denmark
Big fat cows
ReplyDeleteMwanetu Ummy, Hongera sana. Wote ndugu zako wanafuraha mno kuona kuwa imekuwa kama kawa. Jioni hii yooote simu zimetukataria, ila tunakuombea kheri na baraka zote. Tunamkaribisha Mkwilima kwa mikono miwili.
ReplyDeleteOmar naona tafrija ni kali ya kukata na shoka. See you soon.
Uncle JK, Ottawa, Canada
Nyie mwenye miili yenu tuambeeni sisi mafurukobe jinsi ya kuloose weight maana wengine tumejeribu hapa na pale bila mafanikio
ReplyDelete