WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) DR. BATILDA BURIAN AKITOA MADA KWENYE MKUTANO WA TABIA NCHI UNAOENDELEA NCHINI DENMARK -COPENHAGEN LEO.

KAIMU MKURUGENZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) BWANA RICHARD MUYUNGI AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA AKIWAELEZA JINSI MKUTANO UNAVYOENDELEA NDANI KWENYE MIKUTANO YA WAAFRIKA AMBAPO WAANDISHI HAWARUHUSIWI KUJUA KINACHOENDELEA. PICHA NA ANNA ITENDA - MAELEZO







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi kiswahili utajifunza nini... huo ni mkutano wa mabadliko ya hali ya hewa na wala sio tabia nchi kama unavyoandika.

    ReplyDelete
  2. Wadau nisaidieni, ina maana hawa waandishi wa habari wa Tanzania, wamesafiri hadi huko na wanapewa taarifa jinsi mkutano unavyoendelea ina maana hawaruhusiwi wao kuhudhuria huo mkutano?

    Nakumbuka unajua kitu kinachoitwa "Chinese whisper" huyo jamaa anayewataarifu waandishi wa habari anaweza kudailute yale yanayoendela ndani au unasemaje?

    What was the point ya hao waandishi ksafiri hadi huko if they cant attend hivyo vikao? au hawakuwa sehemu ya ujumbe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...