Wasanii wa Kikundi cha ngoma za asili cha Afya Art cha Manispaa ya Morogoro wakionesha ustadi wa kucheza ngona ya ‘Ngokwa’ ya Kabila ya Wamakonde wa Mikoa ya Kusini ya Mtwara na Lindi wakati wa hafla ya kufunga kikao cha saba cha Mkutano Mkuu wa Sekta ya Utamaduni wikiendi hii mjini morogoro
Mwanamziki mkongwe nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania, ( CHAMUDATA), Kassim Mapili ( mwenye suti) akisiliza hotuba ya mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga kikao cha saba cha Mkutano mkuu wa Sekta ya Utamaduni uliomalizika wikiendi hii. Picha na mdau John Nditi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mzee Mapilli soksi nyeupe hizo za kuvalia raba. Jamani mzee mapilli hamwezi kumsaidia?

    ReplyDelete
  2. Na hiyo kofia je?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...