Mlezi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzani (TBF), Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani (katikati mbele) akiwa na viongozi wapya wa shirikisho hilo mara baada ya kufuangua mkutano wa shirikisho hilo uliofanyika kwenye hoteli ya Courtyard jijini Dar wikiendi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Mr.President Mziya, lakini huyo My Waifu yako atakuwa pia ni First Lady?

    ReplyDelete
  2. Je kuna msomaji yeyote anaweza kunisaidia kutambua sura za viongozi wapya na majina yao,hii ni kwa faida ya kuwafahamu viongozi wapya wa Chama Cha Mpira Wa Kikapu Tanzania.(TBF)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...