Hey
Mkuu wa libeneke, habari za shughuli
Kuna website yoyote ile ambayo tunaweza kuiona/kusilikiza hiyo game live?
Mara nyingi huwa naangalia game online lakini za bongo huwa hazipo kwenye website za hawa jamaa web kama
www.fomny.com
www.myp2p.eu
Ngoma huwa ziko clear kabisa na ni free kwa michezo yote
Nakutakia sikukuu njema
Mdau
Bay area CA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...