Wanafunzi wa shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa katika mashindano ya mbio za mita 800 zilizoandaliwa na Chama cha Riadha cha Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kusaka na kuendeleza vipaji vya wanariadhaa nyota wa baadae yanayofanyika katika viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es salam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. -Hivi,hawa wadogo zetu hawawezi pewa gear maalum siku ya mashindano kama hayo?
    -Mtoto wa kike atakimbia vipi comfortably akiwa amevaa sketi ya shule?
    -Maoni yangu hayo...

    ReplyDelete
  2. DU!!! wote wanapaa angani, ama wana kipaaji, maonezi haya msichana kwa mvulana.

    ReplyDelete
  3. sasa wanakimbia peku na soksi mtaumia kuna chupa zimevunjika zinatupwa ovyo misumari miba kokoto kwa mtindo huu ushindi hakuna hata kama ni mazoezi vaeni viatu ka usalama wa ngwato zenu

    ReplyDelete
  4. Mh! Wengine peku, wengine soks, wengine wana viatu. Bongo tambalale!

    ReplyDelete
  5. Huyo dogo aliye mbele mwenye shati jekundu anajua kukimbia. Angalia form yake. Huyo mwenye sare anaweza kufaa kwenye mbio ndefu kama za marathon. Ni wazo zuri, ila tufanyefanye walau wakimbie wamevaa bukta na viatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...