Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mimi nilifikiri wanaume kama panya kutwa kutafuta shimo mie nilidhanini Waafrika tu kumbe hata wazungu wako hinyo hama kweli kondoo wake mkia.x-max njema wadau pamoja na Misoup family

    ReplyDelete
  2. THAT'S FUNY.

    ReplyDelete
  3. LOL!, jamani kaka michuzi unatuua,

    Thanx, so funny!

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa ni msanii haswa. Kilichonifurahisha mimi ni hayo mapozi ya jibaba kumzuga anayeongea nae asinotice attention yake kwenye vi-wowowo vya huyo dada mwingine... hillarious!

    ReplyDelete
  5. lakini mwenye kosa hapo ni nani, ukimlaumu huyo mwanaume ni sawa na kumlaumu panya aliekufa kwa kula chakula alichotegewa chenye sumu,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...