WATOTO WA ALHAJ RAMADHANI BARAKA WA UJIJI, KIGOMA, WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAO MPENDWA KILICHOTOKEA JANA USIKU DESEMBA 23, 2009 HUKO NYUMBANI KWAKE NGURUKA.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA KESHO DECEMBER 25, 2009 BAADA YA SWALA YA IJUMAA NYUMBANI KWA MAREHEMU, NGURUKA.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO.
INNALILLAHI WA INNAILAYHI RAJIUUN
---------------------------------
Globu ya Jamii kwa niaba ya wadau wote inatoa Rambirambi kwa Mkurugenzi wa African Stars Entertainment Da' Asha Baraka na Mwenyekiti wa ASET Kaka Baraka Msiilwa pamoja na familia nzima kwa ujumla kwa msiba huu mzito.
Mola ailaze pahala pema roho ya marehemu
-AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...