Ombi la pingamizi la notisi ya kuhamishwa, ambalo liliwasilishwa hivi karibuni na wakazi 342 wa Kipawa katika Mahakama Kuu kitendo cha Ardhi , limetupilia mbali leo hii na Mahakama hiyo.
Ombi hilo ambalo wakazi hao wa Kipawa jijini Dar es Salaam, lilikuwa likipinga notisi ya siku 90 ambayo ilitolewa na Serikali dhidi yao, ikiwataka wahame katika maeneo hayo ili kupisha shughuli za ujenzi za upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere .
Katika uhamuzi huo wa kutupiliwa mbali, wakazi hao wameambiwa kuwa wasirudi katika tena katika mahakama hiyo kwa ajili ya kufungua kesi ihusuyo malalamiko ya madai katika kuhamishwa kwao, na kwamba mahakama hiyo haioni sababu ya kuzuia maendeleo yanayofanywa na Serikali
Akitoa uamuzi huo, Jaji wa mahakama hiyo Mh. Atuganile Ngwala, aliwataka wakazi hao kukata rufaa katika mahakama nyingine iwapo watakuwa hawajaridhika na uamuzi huo wa mahakama ya ardhi.
Wakati jaji huyo akisoma uamuzi huo, mahakama hiyo ilikuwa imefurika wakazi hao ambao walikuwa wakisikiliza kwa makini.
Jaji Ngwala alisema kuwa Mahakama imekubali maombi yaliyotolewa na serikali Desemba 16 mwaka huu , kupitia mawakili wao ambao walitoa mapingamizi manne yaliyokuwa yakiitaka mahakama kutupilia mbali maombi ya wakazi hao juu ya kuomba Mahakama kusitisha notisi.
Maombi hayo ya Serikali yalidai kuwa notisi hiyo iliwataka wakazi hao kuhama katika makazi yao kabla ya siku 90 ambazo ziko ukingoni kumalizika.
Lakini Jaji alisema kuwa katika maombi ya wakazi hao, palikuwapo na upungufu ikiwa ni pamoja na kutokuwa na idadi kamili ya watu ambao wanalalamika katika shauri hilo ambapo idadi ya walalamikaji ni watu 342 na kati yao 129 ndio halali.
Aidha inasemekana kuwa baadhi ya majina yamelijirudia zaidi ya mara moja na ikiwa wengine ni warithi wa nyumba za maeneo hayo kutokana na wengi kufariki dunia.
Mbali na hayo alisema kuwa walalamikaji hawakufuata taratibu kutokana na madai hayo kuwasilishwa mahakamni hapo kinyume na taratibu na kwamba katika kumbukumbu inaonesha kuwa tayari wakazi 1201 wameshachukua hundi zao za kulipwa fidia zao.
Pia alisema katika ombi la walalamikaji baadhi ya majina ya watu waliochukua hundi zao yameorodheshwa katika idadi ya walalamikaji.
Jaji aliongeza kuwa walalamikaji hao tayari wamepewa taarifa na serikali ambapo taarifa hiyo ya upanuzi wa uwanjaa walipewa mwaka 2000 na kuelezwa athari ambazo zinaweza kutokea kutokana na kuwa katika eneo la uwanja huo.
Pia aliwaambia wakazi hao kuwa, upanuzi wa uwanja wa ndege unataka kufanyika kama moja ya majukumu ya serikali katika utekelezaji wake na kwamba jambo hilo ni la maendeleo na pia vile vile wanatakiwa kuhama kwa sababu ya usalama wao.
“Mahakama haiwezi kutoa zuio la kutoendelea kwa mradi huo wa upanuzi wa uwanja wa ndege kwa sababu serikali ina jukumu la kuhakikisha inalinda usalama wa raia wake, na ikiwa eneo hilo ni karibu na kiwanja hicho jambo lolote linaweza kutokea alisema jaji.
Aliongeza kuwa wakazi hao wamepewa fidia mara mbili yake na viwanja juu na kwamba mahakama haioni sababu ya kuzuia maendeleo ya nchi.
Mara baada ya uamuzi huo wa mahakama kutolewa wakili ambaye alifika mahakamani hapo kwa niaba ya wakili wa walalamikaji hao Raurian Kyarukiku alidai kuwa hawajaridhishwa na uamuzi uliotolewa mahakamani hapo na kwamba wanatarajia kukata rufaa mara baada ya kuonana na wajumbe wa walalamikaji hao.
Wakazi hao waliokuwa wamefika mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo wakiwemo wazee na vijana walionekana kutoridhishwa na uamuzi wa jaji, na wakaanza kuomba dua nje ya mahakama ili Mungu aweze kusikia kilio chao.
Katika shauri hilo, wakazi hao wanapinga kulipwa fidia za kazi yao kwa kutumia sheria ya ardhi ya mwaka 1976 badala ya sheria ya ardhi iliyofanyiwa marekebisho ya mwaka 1999.

Borrow 600K and repay 800K within a month! That is a staggering 396% interest in a year! Was it God who said interest was haram?
ReplyDeletehivi ni kweli kutajengwa uwanja mwingine wa ndege (wa waepoti, kimichuzi) huko Bagamoyo?
ReplyDeleteKama ni kweli kwanini uwanja wa Dar bado upanuliwe?
Kwanini usijengwe tu mwingine wa ukweli? Huo hata upanuliwe vipi hautapata hadhi ya kimataifa kiukweli ukweli. Hebu kuwe na mipango yenye akili ili tuwe na kiwanja kimoja cha maana kulikoni kuwa na viraka viraka...
Too much politix in Tanzania,
ReplyDeleteNi nchi ambayo haiko serious na maendeleo kabisa. wakati abiria wameongezeka zaidi ya mara dufu hapo Dar Int. Airport. serikali inaendellkeza politix tuuu. No body cares. Lazima tuwe watu wa kuiga mifano toka kwa wenzetu. Angalia Kenya pamoja na ukubwa wa Jomo Kenyatta wako katika upanuzi wa hali ya Juu. Angalia hapo kwa mzee Zuma wamehamisha watu hapo OR Tambo Int, Boburg na upanuzi wa hali ya juu unaendelea beyond 2010. Kule Dubai ambako ndo tunapita kila siku tukielekea marekani na kwingineko upanuzi wa hali ya Juu. Hapo kwa Mzee Kagame kauwanja kao kanatia raha, nikenda hapo kwa Mzee Ian Khama Botwana wako serious na upanuzio wa miundombinu ikiwa ni pamoja na uwanja wao huku wakifanya serious business na Kenya Airways...
What is wrong with Tanzania and its people/ Kwanza ni hatari watu kuishi karibu na mindege. Kiusalam ana Afya zao pia.....sasa kuhamisha watu its a big problem. watu wanahamishwa kwa maendeleo ya taifa, wape viwanja anzas ujenzi mara moja acheni politix watanzania na viongozi wetu.
Hii Biashara ya bagamoyo mi naona ni uswahioli tuuu., bagamoyo ina hadhi ya kijiji kama kule Rungwe au kamachumu. haina barabara, maji taabu, hoteli, na mambo kibao leo unataka Airbus na Boeing zianze kutua Bagamoyo. Kwanza technically doesnt sound labda kama Kawambwa na Mkuu wa nchi wana nia hiyo kwa kuwa ni nyumbani. Ila ukitaka leta maendeleo nyumbani peleka watu shule, wape maarifa ya kutafuta hela. wawekee miundombinu ya kusindika samaki na mihogo na kuipeleka London, Dubai hata sauzi kwa mzee Zuma...then ndo uanze fikiria suala la kuleta airport kijijini...jamani nchi ina wataalamu wengu hawasikilizwi au wameingia kwenye siasa. Kazi ya wataalamu ni kuishauri nchi pakwenda kiamendeleo and not the other way...
Kaka Michuzi naomba tuu unirushie hizi hisia zangu hewani.
Mdau mpenda maendeleo.