Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Heri ya Kristmasi kwako pia Mkuu!

    ReplyDelete
  2. E bwanaa eeeh, Michu umenikumbusha mtu mwingine huyo Jim Reeves mtu wa sauti ya kushiba. Jamaa naukumbuka ule wimbo wake wa This World is not my home. Baada ya kuuimba haijachukua muda mrefu jamaa akafariki dunia. Lakini ni mmoja wa waimbaji wenye uhakika na ameshawahi kuimba na al-maarufu wengi tu. Jamaa kajaliwa kwa kuimba. Hivi ninavyoposti hii comment nina kitabu cha nyimbo zake nyingi. Ni kitabu kweli mashairi ya kusisimua hasa.

    ReplyDelete
  3. Asante kwa kutukumbusha.Jim Reeves ana sauti kabambe.Nyimbo zake nyingine ni kama.
    1.this world is not my home
    2.Across the bridge
    3.I'd rather have Jesus
    4.We Thank Thee
    5.Where We'll never grow old

    Good old days jamani.

    ReplyDelete
  4. Happy holidays brother Michu, keep us posted

    ReplyDelete
  5. merry christmas michuzi enjoy na mama watoto na pamoja na wanao
    manka wa canada

    ReplyDelete
  6. Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
    Baraka kwako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...