Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Shemejiii! ya leo kali, ni kweli kuna watu na viatu duniani na si lazima wawe marafiki tu , hata ndugu tena wa karibu waweza chukizwa na maendeleo yako. Cha msingi ni kukaza buti na kusonga mbele wakimaliza kusonya wewe uko mbaali sana kisha wao ndo watakuwa wa kwanza kuja kukuomba misaada mbali mbali.

    ReplyDelete
  2. he he hee hii ni spesheli kwa wale wenye roho za kwa nini

    ReplyDelete
  3. Ankal,
    Yamekusibu yapi tena hadi umeuweka huu wimbo?tehe tehe tehe tehe.kwani sio mpya,ni wa zamani tu.ujumbe wa wimbo huu ni mzito kweli na yanatokea sana haya kwenye maisha yetu ya kila siku.
    Hongera Nyota ndogo

    ReplyDelete
  4. jamani huu mziki ni bomba kweli. Nimeupenda sana, umeiburudisha nafsi yangu. Hongera sana dada, kweli duniani kuna Watu na Viatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...