Watoto wa kituo cha kulelea yatima wa Cornel Ngaleku Children Centre (CNCC) wakicheza na mfanyakazi wa Precision Air, Nia Mbaga mjini Moshi, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kutoa msaada wa chakula kwa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya wikiendi. Precision Air inaasili watoto wa kituo hicho ikiwa ni sehemu ya kutekeleza programu ya huduma zake kwa jamii
Wafanyakazi wa Precision Air wakikabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali kwa Mtawa Catherine, anayetunza watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Cornel Ngaleku Children Centre (CNCC) mjini Moshi wikiendi. Precision Air inaasili watoto wa kituo hicho ikiwa ni sehemu ya kutekeleza programu ya huduma zake kwa jamii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. waosha vinywa lazma wawike kuhusu hiki kituo! watauliza kwanini kisiwe Kigoma? Subirini warudi kubeba box!

    ReplyDelete
  2. kwa sababu wewe ni muosha vinywa wa kwanza na kichwani mwako kuna kutu ya ukabila basi umeshafikisha ujumbe ukweli ni kwamba wamechagua kwao kwa vile ni kwao kwani kwenu kigoma hakuna watoa misaada? Shindwa

    ReplyDelete
  3. hahah uchokozi
    kwa nini Michuzi, Asia (mwanamitindo), wanatoa misaada kwa wavaa hijab tu?

    ReplyDelete
  4. Anony. wed Dec 30, 05:30:00 PM; hiyo ilikuwa tahadhari na tahadhuri kwa waosha vinywa maana kila kitu cha Kilimanjaro huangaliwa kwa misingi hiyo! Sikukusudia kukughadhirisha! pole sana kama umeghadhirika! halafu inaelekea mwezi wa kumi na mbili ni spesheli kwa Kilimanjaro, Misupu good job!

    ReplyDelete
  5. he he heee mmeanza

    ReplyDelete
  6. mijitu mingine bwana !!!!!$$^%^*&
    kwani wewe nani kakuambia usisaidie kwenu.
    its human nature, hata ukiwa na watoto wako unahakikisha wamekula kwanza kabla ya kupeleka pengine.
    msilaumu bure.

    mdau Canada

    ReplyDelete
  7. Mimi cichemi kitu mwe. Kwetu Songea hamuna mutu anachema chochote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...