Profesa Ali Mazrui, akiwasilisha mada kuhusu masuala mbali mbali ya kijamii na kitamaduni ambayo nchi za Bonde la Nile (Nile Basin Countries), zinavyohusiana hususan katika suala zima la rasilimali za maji na matumizi yake wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya Ushirikiano wa nchi hizo, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya.

This is the man of Africa...we need African of this type Professor Mazrui I will alwways cherish you maarifah yako, Hikma zako, Ilm zako Mungu akudumishe daima na Waafrika tukuelewe sana.
ReplyDeleteKwa wale wapenzi wa Pan-Africanism wanaweza kujinga kwenye Prof Mazrui Fan facebook.com pia tuangalie Documentary yakle inayoitwa The African Tripple Heritage mtaelewa huyu mtu ni wa namna gani!!
Mdau Muafrika