Profesa Ali Mazrui, akiwasilisha mada kuhusu masuala mbali mbali ya kijamii na kitamaduni ambayo nchi za Bonde la Nile (Nile Basin Countries), zinavyohusiana hususan katika suala zima la rasilimali za maji na matumizi yake wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya Ushirikiano wa nchi hizo, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. This is the man of Africa...we need African of this type Professor Mazrui I will alwways cherish you maarifah yako, Hikma zako, Ilm zako Mungu akudumishe daima na Waafrika tukuelewe sana.
    Kwa wale wapenzi wa Pan-Africanism wanaweza kujinga kwenye Prof Mazrui Fan facebook.com pia tuangalie Documentary yakle inayoitwa The African Tripple Heritage mtaelewa huyu mtu ni wa namna gani!!
    Mdau Muafrika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...