Wadau Sierra Mnubi akiwa na mai waifu wake Bi. Samia pamoja na wapambe wa nguvu walipokuwa kwenye mnuso wao katika ukumbi wa WIPE (Sabasaba ground) baada ya kumeremeta Garden Kinondoni - D'salaam. Wadau wanatakia maisha mazuri katika safari hii .Ushauri wa bure- Ndoa ni uvumilivu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongereni sana maharusi kwa kweli mmependeza sana, nawatakia maisha mema ya ndoa yenye furaha na amani.Mungu awajalie upendo katika nyumba yenu.

    ReplyDelete
  2. Wapambe wanaonekana wana sura za furaha kuliko maharusi wenyewe... kulikoni?

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana.lakini nina, swali la kizushi,mbona bi samia (bibi harusi) kanunua sana wala ajafurahi what happen?
    Pia mbampe wa bwa harusi -afya unayo hongera njoo,huku tubebebe mabox???
    teheeteehe?

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana. hamna makuu.

    ReplyDelete
  5. wapambe wanameremeta wana raha kweli maharusi vipi jamani siku yenu mbona no smailooo???

    ReplyDelete
  6. -Hongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeera sana kaka yangu,i wish ningekuwepo...lakini usikonde,tutaonana tu....
    Mtoto wa Kileme,

    ReplyDelete
  7. maharusi ni mabikra wanawazia usiku wao wa kwanza maana unatisha

    wapambee wazoefu tayari ndo maana wanaraha tu

    majina yenu mazuri maharusi!!

    ReplyDelete
  8. mpambe wa k=mume sio mchezo,njoo tubebe boksi,mambo yawe mswano.

    ReplyDelete
  9. hongereni sana wakina uncle.
    msimbazi,centre.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...