Ustaadhi waleikhum salaam,

Unanisikitisha unapoamua kushabikia Club ambozo hata kwenye ramani hazipo, ningekuelewa kama ulikuwa unashabikia Club kama
TP Mazembe au Stella ningekuelewa.!!!!!!
Unazidi kuniacha unapoaamua kujilinganisha na Bwawa la main, kwa ufupi kaa chini tena aangalia vijana aka Kinda wa Arsenal wanavyotoa dozi maridhawa huko kwa Bibi UK, Hiyo simba tuatasikia siku moja umelazwa Mwasela au Kibasila kama si moi baada ya kuchapana viboko hapo Msimbazi.

Vijana wa jangwani jikakamueni mtotue kimasomaso hasa kwenye hili La Tusker Cup, si mchenzo vijana mnanifanya nipate presha ya kushuka
C'moon huyo Mo wa jangwani vipi? ameshindwa hata usajili wa kueleweka? au hata posho vijana hawapati?

Jitahidini hii mdomo(waosha) vinywa wa msimbazi inatupa shida.
MDAU JB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Post yako ina onyesha Ukosefu wa Kinga Kichwani.

    ReplyDelete
  2. Wanadamu wengine bwana sasa ndio kaandika nini? hakuna kichwa wala miguu hapo. Arsenal walichokishinda katika miaka 4 nyuma ni kitu gani? Man u na Simba taifa kubwa FULLSTOP bora hiyo Liverpool kuliko Arsenal wakulalamika kila siku, Mpira wa watoto Park sio Viwanja vya Wanaume. Ndosi.

    ReplyDelete
  3. wewe ndosi hapo juu hacha bange zungumza mambo ambayo unayajua usiwe zuzu, gunner huwezi linganisha na timu ya bibi kubebwa mbeleko kila kukicha,halafu unalinga kwa taharifa yako cku hizi hakuna timu inayowekeza kwa wazee angalia Messi kapata Fifa best player award.angalia hata vijeba wa darajan cku wanawekeza kwenye watoto kama Kakuta na wengine siku soko ni kipaji, mambo simba na yanga waachie Dalali na madega timu badala kwenda kwenye mazoezi wanaenda znz kwa mganga ili waloge
    hiyo ndio kazi ya Dalali pale Simba ushirikina hata CAF inalijua hilo ni hayo.

    ReplyDelete
  4. Watu bwana. Wadau wa Msimbazi tulikuwa kimya lakini Jangwani kukaa kimya hawawezi mmoja kajiropokea. Halafu hapo hapo anasema kwamba midomo ya Msimbazi inawapa shida. Hayo ndio mambo ya heri mimi sijasema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...