Home
Unlabelled
TBL yazindua tangazo la 'fikisha tanzania katika hatua ya juu'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ushauri wangu wa bure kwa Serengeti Lager ni kwamba wao waachane na Mlima na wajikite kumsupport 'wajina' wao; Serengeti National Park.
ReplyDeletemathalani, nimewahi kuona ktk luninga mbuga moja binfasi huko kwa watani wa jadi wakiandaa Marathon ndani ya hiyo mbuga. Yaani, unakuwa unakimbia marathon ndani kabisa ya Mbuga sambamba na baadhi ya wanyama pori. Of-course, wanachukua precautions mathubuti kuhakikisha usalama wa wale wanaokimbia dhidi ya wanyama pori hatari.
Nilistaajabika kugundua kuwa hiyo Marathon ni maarufu sana na inavutia watu toka mataifa mbalimbali kuja kushiriki.
Kama SBL watakuwa makini ktk ubunifu, usahuri wangu kwao ni kwamba waanze kushughulika kuinadi Mbuga ya Serengeti na kuwaachia TBL kuunadi mlima kupitia kilaji chao cha Kili.
Idea ya hivi karibuni SBL kupeleka Majenerali wastaafu kupanda mlima Kilimanjaro kwangu naona kama ni copy and paste ya idea ya TBL na kuipeleka Bendera ya taifa Gilman's Point.
Pongezi TBL kwa kutumia vivutio asilia ktk matangazo na kuvinadi kinamna
http://tembeatz.blogspot.com/
I wish if mwalimu nyerere was still alive!
ReplyDeleteWELL DONE G, KEEP IT UP.
ReplyDelete