Meneja masoko wa bia ya kilimanjaro, George Kavishe akizungumza wakati wa uzinduzi wa tangazo la biashara kwa njia ya televisheni lililotengenezwa na kampuni hiyo kupitia kampeni yake ya "Fikisha Tanzania katika hatua ya juu zaidi" uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika Trinity bar, Oysterbay, jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ushauri wangu wa bure kwa Serengeti Lager ni kwamba wao waachane na Mlima na wajikite kumsupport 'wajina' wao; Serengeti National Park.
    mathalani, nimewahi kuona ktk luninga mbuga moja binfasi huko kwa watani wa jadi wakiandaa Marathon ndani ya hiyo mbuga. Yaani, unakuwa unakimbia marathon ndani kabisa ya Mbuga sambamba na baadhi ya wanyama pori. Of-course, wanachukua precautions mathubuti kuhakikisha usalama wa wale wanaokimbia dhidi ya wanyama pori hatari.
    Nilistaajabika kugundua kuwa hiyo Marathon ni maarufu sana na inavutia watu toka mataifa mbalimbali kuja kushiriki.

    Kama SBL watakuwa makini ktk ubunifu, usahuri wangu kwao ni kwamba waanze kushughulika kuinadi Mbuga ya Serengeti na kuwaachia TBL kuunadi mlima kupitia kilaji chao cha Kili.
    Idea ya hivi karibuni SBL kupeleka Majenerali wastaafu kupanda mlima Kilimanjaro kwangu naona kama ni copy and paste ya idea ya TBL na kuipeleka Bendera ya taifa Gilman's Point.

    Pongezi TBL kwa kutumia vivutio asilia ktk matangazo na kuvinadi kinamna

    http://tembeatz.blogspot.com/

    ReplyDelete
  2. I wish if mwalimu nyerere was still alive!

    ReplyDelete
  3. WELL DONE G, KEEP IT UP.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...