Injini ya Treni ya mizigo imekula mweleka eneo la Mkuyuni mapema asubuhi leo. Kwa mujibu wa mdau aliyetuletea taswira hii hakuna madhara kwa maisha yalotokea ila sehemu hiyo ya reli imeharibika kiasi na juhudi za kuliinua zinaendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mkuyuni ndio wapi wadau??? Ubungo Maziwa au Dodoma??

    ReplyDelete
  2. Wakati gavana ukarabati wa nyumba dola millioni moja angalieni treni ilipoangukia reli imefunikwa na udongo wala haipo kweye hali inayotakikana. Mkuu wa nchi upo??

    ReplyDelete
  3. Mkuyuni wapi? Mwanza au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...