Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani nyimbo zinaongea na nafsi yangu mara mbili kuliko mahubiri ya namna nyingine yeyote ile!

    Wapi kijana wa sauti ya bati toka KMT Upendo Choir - Mugumu?

    Nawatakia kheri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio

    ReplyDelete
  2. jamani Rose ameimba huu wimbo,na shooting yake nimeipenda maana inamaanisha kama pale aliposema marafiki wakinibeba watanipeleka matatizoni,sometimes friends sio watu wazuri,rOSE UPO JUU MAMA una kipaji sana na nyimbo zangu zinagusa maana unaimba real life,and your past

    ReplyDelete
  3. hapana chezea wacheza shoo lol!! mwenye t-shirt nyekundu full mzuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...