Viongozi wa Taasisi ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (Deci), leo wamepandishwa kizimbani kwa mara nyingine tena, wakikabiliwa na tuhuma za wizi.
Viongozi hao ambao ni Jackson Mtalesi, Dominic Kigendi, Timotheo Segurani, Samwel Mtalesi na Abogast Kipilimba, wanakabiliwa na kesi nyingine ya kuendesha mradi wa upatu kinyume na taratibu na sheria za nchi. Katika kesi hii mpya, wanadeci hao walipandishwa kizimbani
mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Aloyce Katemana, ambapo walisomewa mashitaka mawili yanayowakabili.
Akiwasomea mashitaka hayo,mbele ya Hakimu huyo Wakili wa Serikali Kishenyi Mutalemwa aliiambia mahakama hiyo kuwa katika shitaka la kwanza, washitakiwa hao wanadaiwa kuwa
kati ya Desemba 1 na 8 mwaka huu wakiwa viongozi wa Taasisi hiyo ya DECI, wakiwa na nia hovu waliiba Sh Milioni 118.4.
Mutalemwa alidai kuwa katika shitaka la pili, washitakiwa hao wanadaiwa kuwa Desemba 8 mwaka huu katika benki ya Standard Charter tawi la Kariakoo Dar es salaam, kwa pamoja
na kwa kushirikiana walipanga na kuiba fedha hizo.
Baada ya upande wa mashitaka kumaliza kusoma mashitaka hayo, upande wa utetezi uliokuwa ukiwakilishwa na Wakili Hudson Ndusyepo uliiomba mahakama hiyo kutoa masharti ya dhamana Baada ya mashitaka hayo kumaliza kusomwa, upande wa utetezi katika kesi hiyo, uliiomba mahakama hiyo kutoa masharti ya dhamana kwa washitakiwa hao, kwa madai kuwa makosa wanayoshitakiwa nayo yalikuwa yakiwaruhusu kuwa nje kwa dhamana.
Maombi hayo yalipingwa na upende wa mashitaka katika kesi Hata hivyo, maombi hayo yalipingwa na upande wa mashitaka katika kesi hiyo, ambao ulidai kuwa washitakiwa hao
hawakustahili kupata dhamana wka majibu wa sheria.
Akifafanua juu ya sababu ya washitakiwa hao kutoruhusiwa kupata dhamana, Mutalemwa alidai kuwa washitakiwa hao walifanya kosa hilo, wakiwa nje kwa dhamana kufuatia kesi nayowakabili, na kwamba kifungu namba 148 (5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), hakiruhusu dhamana kwa mashitakiwa ambaye ametenda kosa akiwa katika dhamana ya kesi nyingine.
Mahakama hiyo iliahirisha kesi hiyo hadi Desemba 21 mwaka huu, itakapotoa uamuzi juu ya maombi hayo ya upande wa utetezi, ambapo washitakiwa hao walirudishwa rumande.

wangekuwa wanafuatilia mafisadi kama hivi basi viongozi wengi wangekuwa lupango. Mafisadi wanaokula kodi za walalahoi wanatanua tena kwa madaha ila ambao hawakugusa fedha za kodi ila watu wenyewe kwa utashi wao waliamua kujiunga na kupeleka fedha zao ndio wanaoshikiliwa bango! Ama kweli nchi hii imetawaliwa na mafisadi ndiyo maana wanalindana kwelikweli. Hizo pesa za watu mlizozishilikia zitawatoa roho! warudishieni wenye fedha zao.
ReplyDelete