


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana Michuzi nina ka-swali kadoogo, hivi haya matangazo ya my husband wake na my wife wa mke wake huwa wanakulipa au huwa unafanya hisani??. hebu nipe utaratibu manake nina washkaji zangu ka' watatu hivi wanakaribia kung'aa na mi maiwaifu yao.
ReplyDeletetukiachilia hilo, maharusi hawa wamependeza sana kama wanavyopendezaga maharusi wooote niliowahi kuwaona. nadhani kila harusi huwa inapendeza. nawatakia kila la kheri. ujumbe wangu kwa bwana harusi ni kwamba NO MKE WALA KITOTOZ CHA PEMBENI muheshimu mke wako, na ujumbe wangu kwa bi harusi ni kwamba NO MUME WA PEMBENI WALA KISERENGETI BOY MAFICHONI kwa maana kwa kufanya hivyo mtakuwa mnachukiza mungu na mtakuwa mkimkaribisha mdudu ukimwi ndani ya nyumba yenu iliyobarikiwa.
Mbarikiwe sana. Ameen.
Mchungaji.
Am happy for you, God bless your family
ReplyDeleteMalifa
arusi nzuri sana wamependeza saaaana hongereni kwa kufunga ndoa takatifu muishi kwa amani ndoa ni bidhaa adimu
ReplyDeleteNaona mtu kama TitoLugoe na Frank Noel vile...si matani ..
ReplyDeletehongereni sana maEngineer kwa kuoana..Mungu awabariki ktk maisha mapya haya..
ReplyDeletehivi wanaume waowaji wanapatikana wapi mbone wengine hatupati ??
ReplyDeleteHey wakubwa isije mkawa mmebeba battery za site,ohh
ReplyDeleteDUU HONGERENI SANA, ELLY NI MIAKA IMEPITA TOKEA KIFUNGILO UKAPOTEA GAFLA KUMBE SHEMEJI KAKUFICHA. MUNGU AWABARIKI MUISHI MAISA MEMA. CHRIS SHIRIMA.
ReplyDeleteImetulia sherehe. hongreeni maharusi.
ReplyDeleteShow nzuri frm Engineers. Hivi kumbe TINDI MDEKA nawe unayarudi kwanja!! WAIGAMA simshangai mzee wa ngwasuma.
Abdul chebby
Hongera sana rama mmependeza sana na mai waifu wako hongera sana na wewe best man boaz mwaipungu kumbe ukipiga suti unapendeza atii
ReplyDeleteFrank munale yuleee!, Kaka umenona? vipi EPA ilikufiki nini?
ReplyDeleteMdau Ughaibuni
Anonymous unayesema waume wanapatikana wapi ukae ukijua kama hujakutana naye chuo,kanisani,au kama hao hapo wanaofanya kazi pamoja...nadhani kazi za usiku ziliwasaidia pia,maana huku wanahangaika na site na huku wanahangaika na yao!!
ReplyDeleteMjini hapa.....Hongereni sana mainjinia wa Zain kwa kuoana!!
Ooh! Rama & Eli u made it!!Guys mmependeza sana!hongereni sana, i am so happy for both of you. May God bless you and your family. Sikujua hii habari ndo naiona hapa.
ReplyDeleteNaona mzee Tito Lugoe kama kawa sapoti yako ya nguvu,ubarikiwe.
Stephen Katamba( DRC-Kinshasa)
Siku hiyo naona sites za Zain zilikuwa "ZIMEANGUKA ZOTE" maana mainjia wote walikuwa kwenye mnuso!hongereni.
ReplyDeletenamuona mtu kama william kaijage
ReplyDeleteyani umenchekesha wewe annon unaeuliza wanaume wa kuoa wako wapi?hahahahahahaaaaa
ReplyDeletebasi wanatulia ndani ata hao waoaji?kazi mijicho nje-nje tuuu na watoto wa nje za ndoa km si mahawara.....kasheshe tupu
Na nyie maharusi Mungu awalinde tu na muwe wawazi na uaminifu kati yenu
Nimeipenda style ya kucheza ya mzee wa kwanza (kulia) kwenye picha ya kuselebuka.
ReplyDeleteHongereni sana Aaron na Anale. Mmependeza kweli, nawatakia ndoa yenu ipendeze zaidi.
ReplyDeleteChristine
Hongera sana kaka Ramadahan Na Dada ELly, Kwa kweli tunajivunia ndoa yenu, ingawaje sikuwepo siku ya harusi, Amen Mungu akinijalia nitawatafuta.
ReplyDeleteshabani wa switch wewe lini
ReplyDeleteHongereni maharusi mmpendeza mpo simple lakini clear
ReplyDeleteHongereni sanaaaaa.... Elly Kitaly mdau wa ukweli wa Man U. nimefurahi saaaana saaana... Mdau Z
ReplyDeleteDah ! Kaka sele Matipa kumbe unapendeza hivi ukipiga suti!Sikukutambua kabisa.Hapo kwa nnavokujua kama uliingia kati ya dimba kusakata lazima uwatoe KO wote!!
ReplyDeleteKatamba(DRC-Kinshasa)
jamani bibi harusi alikua wapi asiwanie umiss TZ maana ana sifa zote, hongereni kwa kupendeza, u r so natural.
ReplyDeleteNimeshindwa kuvumilia jamani. Huyo dada ni mzuri mnoooo! Duh! Mshikaji muoaji tafadhali mtunze huyo mkeo! I envy you...! Hongera sana kaka!
ReplyDeletezawadi inakuwa kama jeneza?????
ReplyDeletemoney uk.
That what they call seal with a kisssss officiallyyyyy.
ReplyDeleteWOOOOOOOOW, congrats guys you look sooo good together. Elly umekuwa mdada i remember old days at kifungilo. May God less you. Eve.
ReplyDelete