mdau Aaron Ramadhani Mhina na mai waifu wake Eliainasoe Joseph Kitaly wakijidai baada ya kumeremeta katika kanisa la KKKT Kijitonyama jijini Dar Jumapili hii
"...mshumu...mshumu... mmmwaaaa - kama noma na iwe noma...
maharusi na wazazi pamoja na mchungaji baada ya kumeremeta
wafanyakazi wenza wa bwana harusi toka ZAIN wakiingia kutoa zawadi yao kwenye mnuso ulioandaliwa katika viunga vya ukumbi wa karimjee hall jijini dar usiku wa kuamkia leo
zawadi nzito....
bwana harusi akiselebuka na wadau wenza wa Zain
bwana harusi akiwa na mai waifu, ma'mzaa chema, shemeji na binti wa shemeji









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi nina ka-swali kadoogo, hivi haya matangazo ya my husband wake na my wife wa mke wake huwa wanakulipa au huwa unafanya hisani??. hebu nipe utaratibu manake nina washkaji zangu ka' watatu hivi wanakaribia kung'aa na mi maiwaifu yao.
    tukiachilia hilo, maharusi hawa wamependeza sana kama wanavyopendezaga maharusi wooote niliowahi kuwaona. nadhani kila harusi huwa inapendeza. nawatakia kila la kheri. ujumbe wangu kwa bwana harusi ni kwamba NO MKE WALA KITOTOZ CHA PEMBENI muheshimu mke wako, na ujumbe wangu kwa bi harusi ni kwamba NO MUME WA PEMBENI WALA KISERENGETI BOY MAFICHONI kwa maana kwa kufanya hivyo mtakuwa mnachukiza mungu na mtakuwa mkimkaribisha mdudu ukimwi ndani ya nyumba yenu iliyobarikiwa.
    Mbarikiwe sana. Ameen.
    Mchungaji.

    ReplyDelete
  2. Am happy for you, God bless your family
    Malifa

    ReplyDelete
  3. arusi nzuri sana wamependeza saaaana hongereni kwa kufunga ndoa takatifu muishi kwa amani ndoa ni bidhaa adimu

    ReplyDelete
  4. Naona mtu kama TitoLugoe na Frank Noel vile...si matani ..

    ReplyDelete
  5. hongereni sana maEngineer kwa kuoana..Mungu awabariki ktk maisha mapya haya..

    ReplyDelete
  6. hivi wanaume waowaji wanapatikana wapi mbone wengine hatupati ??

    ReplyDelete
  7. Hey wakubwa isije mkawa mmebeba battery za site,ohh

    ReplyDelete
  8. DUU HONGERENI SANA, ELLY NI MIAKA IMEPITA TOKEA KIFUNGILO UKAPOTEA GAFLA KUMBE SHEMEJI KAKUFICHA. MUNGU AWABARIKI MUISHI MAISA MEMA. CHRIS SHIRIMA.

    ReplyDelete
  9. Imetulia sherehe. hongreeni maharusi.
    Show nzuri frm Engineers. Hivi kumbe TINDI MDEKA nawe unayarudi kwanja!! WAIGAMA simshangai mzee wa ngwasuma.
    Abdul chebby

    ReplyDelete
  10. Hongera sana rama mmependeza sana na mai waifu wako hongera sana na wewe best man boaz mwaipungu kumbe ukipiga suti unapendeza atii

    ReplyDelete
  11. Frank munale yuleee!, Kaka umenona? vipi EPA ilikufiki nini?

    Mdau Ughaibuni

    ReplyDelete
  12. Anonymous unayesema waume wanapatikana wapi ukae ukijua kama hujakutana naye chuo,kanisani,au kama hao hapo wanaofanya kazi pamoja...nadhani kazi za usiku ziliwasaidia pia,maana huku wanahangaika na site na huku wanahangaika na yao!!
    Mjini hapa.....Hongereni sana mainjinia wa Zain kwa kuoana!!

    ReplyDelete
  13. Ooh! Rama & Eli u made it!!Guys mmependeza sana!hongereni sana, i am so happy for both of you. May God bless you and your family. Sikujua hii habari ndo naiona hapa.
    Naona mzee Tito Lugoe kama kawa sapoti yako ya nguvu,ubarikiwe.

    Stephen Katamba( DRC-Kinshasa)

    ReplyDelete
  14. Siku hiyo naona sites za Zain zilikuwa "ZIMEANGUKA ZOTE" maana mainjia wote walikuwa kwenye mnuso!hongereni.

    ReplyDelete
  15. namuona mtu kama william kaijage

    ReplyDelete
  16. yani umenchekesha wewe annon unaeuliza wanaume wa kuoa wako wapi?hahahahahahaaaaa

    basi wanatulia ndani ata hao waoaji?kazi mijicho nje-nje tuuu na watoto wa nje za ndoa km si mahawara.....kasheshe tupu

    Na nyie maharusi Mungu awalinde tu na muwe wawazi na uaminifu kati yenu

    ReplyDelete
  17. Nimeipenda style ya kucheza ya mzee wa kwanza (kulia) kwenye picha ya kuselebuka.

    ReplyDelete
  18. Hongereni sana Aaron na Anale. Mmependeza kweli, nawatakia ndoa yenu ipendeze zaidi.

    Christine

    ReplyDelete
  19. Hongera sana kaka Ramadahan Na Dada ELly, Kwa kweli tunajivunia ndoa yenu, ingawaje sikuwepo siku ya harusi, Amen Mungu akinijalia nitawatafuta.

    ReplyDelete
  20. shabani wa switch wewe lini

    ReplyDelete
  21. Hongereni maharusi mmpendeza mpo simple lakini clear

    ReplyDelete
  22. Hongereni sanaaaaa.... Elly Kitaly mdau wa ukweli wa Man U. nimefurahi saaaana saaana... Mdau Z

    ReplyDelete
  23. Dah ! Kaka sele Matipa kumbe unapendeza hivi ukipiga suti!Sikukutambua kabisa.Hapo kwa nnavokujua kama uliingia kati ya dimba kusakata lazima uwatoe KO wote!!

    Katamba(DRC-Kinshasa)

    ReplyDelete
  24. jamani bibi harusi alikua wapi asiwanie umiss TZ maana ana sifa zote, hongereni kwa kupendeza, u r so natural.

    ReplyDelete
  25. Nimeshindwa kuvumilia jamani. Huyo dada ni mzuri mnoooo! Duh! Mshikaji muoaji tafadhali mtunze huyo mkeo! I envy you...! Hongera sana kaka!

    ReplyDelete
  26. zawadi inakuwa kama jeneza?????
    money uk.

    ReplyDelete
  27. That what they call seal with a kisssss officiallyyyyy.

    ReplyDelete
  28. WOOOOOOOOW, congrats guys you look sooo good together. Elly umekuwa mdada i remember old days at kifungilo. May God less you. Eve.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...