mdau adam kapama akicheza bluzi na mai waifu wake aidah hamisi semfuko wakati wa mnuso wa harusi yao usiku huu ukumbi wa kiramuu hall jijini dar
ankal akiwapongeza maharusi katika mnuso wa fungua mwaka
maharusi wakikata keki
maharusi na wapambe wao pamoja na wazazi




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ankal, Nawapa hongera maharusi. Mbona haya mambo ya ki-ustaadhi hayatokeagi sana kwa hii blog ya jamiii? Any distrimination????

    ReplyDelete
  2. Maharusi hongereni.

    Ankal bwana umezidi kula maraha ya minuso, unatia hasira wabeba box!!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Hongera kaka,
    Mimi bado nasubiri Account yako ya CRDB niweke mchango wangu! Do u remember?
    Hongera sana

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi naona speed hii ikiendelea ya kualimwa kwenye maarusi.One day unaweza sasa ukagombea hata ukatibu kata wa CCM. KEep it UP!lol

    ReplyDelete
  5. Michu, picha ya pili bwana harusi anaonekana hata umshike bibi harusi mkono maana unaonekana anaondoa mkono wako.

    Angalia siku moja utapigwa ngumi ya usoni.

    ReplyDelete
  6. wamependeza cjawahi ona in dis country, jmnani ver very mmmhhmwaaaaaaaa.

    cute wa ma cute

    ReplyDelete
  7. Ankal,

    Nawapo Hongera sana Maharusi...

    Ankali, sasa wewe mzee mzima shughuli nyeti kama hii umepiga shati tena wala hujachomekea. Mjomba vipi....shughuli kama hii ungevunja kabati kwa kanzu safi na koti la suti kabisa...tafadhali mjomba.

    Network Engineer (NE)
    Reading, UK.

    ReplyDelete
  8. ankal inabidi uwe unauliza uvaeeje la sivyo Vaa tu ze T-SHETI HATUNA UGONVI.ALA UNATUAIBISHA.

    ReplyDelete
  9. Hongera ADAM na my wife wako nakumbuka ADAM alikuwa classmate wangu muhi2 primary school 2mechapwa wote na mwl ndossi na pipi za mzee taibaly. Kweli 2mezeeka hongera sana best kwakujikwamua mimi mwenzio ata mchumba cjawaza...nawaonea raha sana wenzangu pamoja na iddy janguo, peter emanuel na simon mandara hongereni kwakuwa nafamilia. K

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...