Katibu mkuu Afisi ya Rais NaMwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Ndugu Mussa Hassan kipokea Fulana Miatano Kutoka kwa Ndugu Mluku A.Maggid Meneja wa Tawi NMB Zanzibar , Benki ya NMB wamoto fulana hizo ikiwa ni Shamra shamra za kusherehekea miaka 46 ya Mapinduzi Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...