The Lounge at Mama Mkubwa Lodge.
Dear Bro Michuzi!
I have just returned from a sojourn to my home district in Njombe from
Arusha where I am based. Tanzania is quite vast. Imagine traversing through
Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Coast, Morogoro regions before reaching my home
region of Iringa. It is more than 1,200 kilometres long. Much as I am not
a good photographer I, with the help of some colleagues, tried to capture
some images during my trip which I am happy to share with all wadaus of
this famous Blog. Thanks and Happy New Year!
Danford Mpumilwa
I have just returned from a sojourn to my home district in Njombe from
Arusha where I am based. Tanzania is quite vast. Imagine traversing through
Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Coast, Morogoro regions before reaching my home
region of Iringa. It is more than 1,200 kilometres long. Much as I am not
a good photographer I, with the help of some colleagues, tried to capture
some images during my trip which I am happy to share with all wadaus of
this famous Blog. Thanks and Happy New Year!
Danford Mpumilwa

Lodge at Makambako.

the Kibena Tea Estate on the right.

proprietor Mijay Kikula.

Internet Bar and Restaurant

Iringa road.

Ruaha River.

ndo mana ajali haziishi ingekuwa Ulaya ungeweza kushitakiwa kwa ku-overtake mahali pasipotakiwa picha namba saba! kulikoni kuchomoza pua namna hiyo wakati markings haziruhusu! tuna kazi kwelikweli! Anyway Happy New Year bora umefika salama ulipoenda
ReplyDeleteuncle mpimilwa that's wonderful.
ReplyDeletefantastic shots from fabulous countryside, vanyalukolo vanofu.
asante sana.
kwa uendeshaji wa viwango mzee kuovertake kapo umechemsha.omba mungu umefika salama.
ReplyDeleteUhondo wote wa picha za unyaluni umeharibiwa na uendeshaji hatarishi wa gari lako loh!!! Angetokea Kiswele hapo iyovi (picha namba saba) ingekuwaje?
ReplyDeleteMeshaki na Giresi mko wapi? Take action. Aibu jamani. Mnaweza kuichomoa hiyo kitu ya mwisho
ReplyDeleteeforde is that you or just i can't see properly? if is you i would like to get your contact sir,it has been long since that time from migo,k'ndoni,ujiji whatever)))
ReplyDeletehow is chr?
if this is you then respond sir!i early miss u.
basi watu kama hawa kwa kusagiaga madereva wa bongo! aibu.
ReplyDeleteHe veya shemeji. Nice to hear you went to kuzombe. The pictures are nice ndugu yangu. How was your vacation? Did u manage to meet the potential voters. I am told kipindi hiki cha xmas hadi mwaka mpya watarajiwa walikwenda kusalimia wapiga kura majimbo yote. I wish you all the best shemeji.
ReplyDeleteLoooove ur pics but ung'eng'e hapo juu with the dark blue bolded color weeeee cracked me up
ReplyDeleteEngineer Mng'ong'o wa tanroads na usaid huwa ananifurahisha sana typical engineer basi sisi maingineer ndio tupo kama yeye mara ya mwisho nilimuona na hilo glass lake temboni mwaka 2002 live long enginerr live long hivi ameshastaafu au ndio anajenga mabarabara huko?
ReplyDeleteNafikiri huu i ushahidi tosha picha namba saba wa kumfunguliwa mashitaka ya kuvunja sheria ya usalama barabarani huyu dereva. Please Michu ninaweza kupata namba za hili gari linalo-overtake kwenye "Continuos line" which restrict you not to cross it so you can stay on your lane. Means No Overtaking
ReplyDeleteMwalemi sana na picha za kunjombe!
ReplyDeleteMissing home......
Ndiomaana ajali haziishi barabarani bongo picha namba7 inaonyesha jamaa anaovertake sehemu ambayohairuhusiwi kabisa yaani hatakama mbele pako clear vipi sheria inabaki vilevile hauruhusiwi kuovertake that's it sasa wewe mdau kulikoni au ndio ujanja mavi?tufuate sheria za barabarani jamani hivitutaelimika lini?au ndio leseni za magumashi?
ReplyDeleteMpumilwa, I am glad to hear that you spent Chrismas in Njombe where you were born. This is a clear indication that you have been influenced by the 'mangis' who desert Arusha municipality during this particular time of the year and spend the holidays with their parents in Kilimanjaro region. East or West, home is the best - OLD COLLEAGUE AT DAILY NEWS(DSM)
ReplyDeleteKu overtake ovyo ovyo hapa Dar hasa nyakati za asubuhi hizi sehemu zenye njia moja ni jadi ya watu walio wengi wakiona unafuata sheria watakuwashia full lights, honi na kuchomekea yaani mtu anataka upite hata kama mbele kuna gari karibu, kona n.k. kweli ina kera sana.
ReplyDeletebela bela ku-boma uko kunofu mwee!!
ReplyDeleteasante sana
aya madereva asanten kwa kutukumbusha
Wanyalukolo ni watu arrogant sana except huyu (maybe)
ReplyDeleteIna maana huyu engineer mwenye riglass kama boot huwa anatembelea nalo kila aendako? Just curiosity!!. Mimi
ReplyDeleteWABONGO NA NYIE MMEZIDI MNO KUKRITISAIZI. MNAJUAJE KAMA HAPA ALIKUWA ANAOVATEKI? HII PICHA NAMBA SABA MIMI NAWEZA KUSEMA KWAMBA ALICHOMOZA KIDOGO TU ILI APATE TASWIRA YA HIYO KONA. MSIJIFANYE MNAJUA SANA SHERIA ZA BARABARANI WAKATI KILA SIKU MNAENDESHA BILA LESENI. MIMI BINAFSI NIMEZIPENDA PUCHA NA MAELEZO YA KAKA MPUMILWA. HAWA NDIO WAANDISHI WETU WA ZAMANI WALIOKWENDA SHULE, SIO KINA NANIHII, WANAOANDIKA HADITHI ZA KISWAHILI KIBOVU ZENYE VICHWA VYA KIINGEREZA. BIG UP BROTHER DANFORD.
ReplyDeleteKwa Malimbukeni wote: Wahandishi hawapaswi kuitwa "engineer" kwa sababu "engineer" siyo title, ni profession tu kama zingine. Title zina orodha yake na hakuna kitu kama "engineer". Huu ni ulimbukeni tu. Sasa na wahasibu nao waitwe "accountant" na wasanifu majengo nao waitwe "architect" na madereva nao waitwe "driver" na marubani nao waitwe "pilot". Acheni ulimbukeni. Only in Tanzania literal communications one would find such interesting thing.
ReplyDeleteWatanzania munakereketwa sana na hiyo nchi yeno kiasi cha mtu kuovateki barabara ambayo onaona clear mbele kwa masafa marefu tu inakua big issue.
ReplyDelete