Home
Unlabelled
FBME Bank yafungua tawi zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
unaacha kuwasha umeme watu wanalala giza hukoo ww ndo kwanzaaa unafungua vibanda vipyaa au kwa sababu ww unalala na umeme sio ndo hujali , but thanks kufungua hichoo kwani ndo maendeleo wenewee hayoo ba amanii sawaa mhhhh
ReplyDeleteIt is a shame kwa viongozi wa Tanzania, bara Raisi anafungua hoteli na visiwani nako Raisi anafungua benki! Mwe!!! Mi nimeshachoka sasa.
ReplyDeleteHivi mawaziri siku hizi kazi zao ni zipi? Au na wao wachukue majukumu ya wabunge? Na je wabunge watafanya kazi gani? Bila shaka na wao watachukua majukumu ya madiwani, na hatimaye madiwani kuishia kufanya kazi za m/kiti serikali za mitaa. Kwa mchakato huu kiongozi wa chini kabisa ataishia kua mlezi wa familia za watu na hatimaye wazazi kujihisi kutokua na majukumu.
Tunajua kabisa hatima ya mzazi kua irresponsible! Haya!!