Mashindano ya kombe la Mapinduzi kwa mpira wa magongo
(Phoenix Assurance Mapinduzi Hockey Tournament)
yameanza asubuhi hii katika viwanja vya Jeshi Lugalo jijini Dar.

Jumla ya timu tisa zitashiriki. Nazo ni Magereza, TPDF, Dar Khalsa, Moshi Khalsa, Ngome Arusha Twigas, Kentucky, D.I. na Zanzibar.

Mashindano hayo yanadhaminiwa na kampuni ya bima ya Phenex Assuranc ya jijini Dar, na tayari imetoa shilingi milioni 5 kwa ajili ya matayarisho ya uwanja na vikombe pamoja na medali za dhahabu kwa timu zitakazoshinda kwenye michezo hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...