Vodacom Tanzania inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wasamaria wema ambao wamechangia harambee ya kusaidia ndugu zetu walioathirika na maafa sehemu mbalimbali nchini ikiwemo kilosa kulikokumbwa na mafuriko makubwa mwaka huu. Inasema asante sana kwa moyo wa uzalendo.
Kwa kuwa tatizo bado lipo, michango hiyo ya harambee ya maafa kupitia kampeni ya 'Vodafone Red Alert' inadelea kila siku na kupokewa ambapo unatuma kwa sms neno 'MAAFA' kwenda namba 15599 nawe utakuwa umechangia bila tatizo. Shime wadau kutoa ni moyo....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mbona picha ya wife iko mbali halafu kiduchu?

    this is unfair!

    ReplyDelete
  2. Mijitu minengine bana...unaambiwa mambo ya msingi kuchangia watu waliopata majanga wewe unaleta masikhara na njozi zako za kipambaf pambaf, kweli Watanzania tutaendelea kukwama hivi hivi.

    Yote kheri lakini. Michuzi, hujawafahamisha wasomaji kwamba hii kampeni inawahusu wateja wa Vodacom Tanzania pekee na sio wa mitandao yote Tanzania.

    Suluja

    ReplyDelete
  3. Tayari nshachangia ndio maana namuulizia wife

    au ndio mpaka tutangaze how much tumechangia?

    wengine hatupendi kujitangaza tunapotoa michango

    ReplyDelete
  4. Guys ; vodacom rocks mmesikia leo clouds nao wamechangia thru red alert

    charity begins at home !!!

    tuchangie jamani !!!

    villager

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...