Mdau Mac Temba akiwa katika harambee ya Vodafone Red Alert inayohamasisha kuchangia waathirika wa maafa nchini. Anakwambia kuchanga ni rahisi sana. Unapeleka sms kwenda namba 15599 na kuandika neno 'Maafa' utakuwa umeshachangia ndugu zetu wanaoteseka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankali huyu jamaa namkubali sana...pia ni fan wa blog yake ya www.mactemba.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Hellow..!! Ujumbe umefika ila kwa sisi tulio huku Ughaibuni tutumie same number au..! Mdau

    ReplyDelete
  3. big up to mactemba CEO "fitinure inc" a.k.a HOD Red Alert.

    ReplyDelete
  4. Bro Michu,

    Posti basi picha ya wife, I miss her

    shukran

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...