MHESHIMIWA ANKAL,
HEBU TUSTULIE JAMAA KUHUSU KIGAMBONI KWANI HADI SASA HAKUNA MWELEKEO MZURI JUU YA KIGAMBONI. NI LINI SEREKALI YETU ITAKUWA WAZI JUU YA SUALA LA KIGAMBONI. ????
WANANCHI WENGI WAMESITA KUJENGA AU KUENDELEZA MJI WAKIHOFIA SEREKALI YETU KUTOKUWA NA MTAZAMO MZURI. KAMA HAKUNA KITU CHA UOVU KWANINI HADI SASA WASIWE WAZI.
NA VILE VILE KWANINI KUNA USANIII MWINGI??? RAISI ANA KAULI MOJA NA WAZIRI WAKE ANAKUJA SIKU INGINE NA KAULI INAYOTOFAUTIANA NA RAISI....CCM ANAGALIENI UCHAGUZI UNAOKUJA.....MAMBO KAMA HAYA MTATUPA KURA ZENU ZA BUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mdau tuweke bayana kwanihatuelewi unaongelea issue gani kuhusu huko kigamboni mbonakunajamaa wengi wamejenga huko!Rais kasema nini ambachokinapingana na Waziri wake kuhusu kigamboni?umetuacha njia panda!

    ReplyDelete
  2. najaribu kuelewa unaongelea nini?

    ReplyDelete
  3. mdau anaongea point SERIKALI imesitisha wanaojenga Kigamboni wasiendelee wengine wanajenga kwa ubishi na watu nyumba zetu tulishazianzisha sasa hatuelewi hatma yake ni kitugani CCM blah blah nyingi tu kila kukicha matumbo hayo cjui matumbo gani yasiojaa yakatosheka TULIPENI CHETU TUANZE ZETU SIO MNATULETEA MZAHA WENU MLIOWALETEA WAKAZI WA AIRPORT MWISHONI MNAKUJA KUWAPA LAKI5 TANO AU MILIONI2 MILIONI 2 KAMA SIO DHULMA NI NN HIO?

    ReplyDelete
  4. nijuacho mimi ni ule mpango wa serikali kugeuza kigamboni kuwa kijiji cha utalii na kuwahamisha wananchi wa huko wote.(kuweka mwekezaji)

    ReplyDelete
  5. HAKUNA LOLOTE KUHUSU UTALII WADANGANYIKA FIKIRIENI. HAPO INAONEKANA KUNA WADHAMINI WAMEAHAKUBALI KUJENGA DARAJA SASA WAKUU WAMESHAANZA KUKUTOLEA MACHO ILI WAGAWANE WAO VIWANJA VYA BAHARINI! HIYO NI CONSPIRANCY THEORY!!

    ReplyDelete
  6. serikali haiwezi kuwa wazi kwa sababu imeishawafanya wabongo kuwa mbumbumbu. hata ikiwa wazi hawawezi kuelewa na kwa mtaji huo CCM inajihakikishia ushindi wa kishindo bila jasho!! huo uwazi tuusubiri yesu atakaporudi tena duniani.

    ReplyDelete
  7. Tarehe Thu Jan 14, 06:37:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Ni kweli kigamboni inageuzwa mji wa utalii na mwekezaji ameshapatikana, kule South Korea na mazungumzo ya serikali na hao wakorea yalifanyika mwishoni mwa mwaka jana, 2009. Sasa tunangojea serikali kutoa tamko mazungumzo yaliendaje

    ReplyDelete
  8. wanablog naomba tufahamishane vizuri kuhusu kigamboni maana nimeshachukua kiwanja pale na hivi ndiyo naeendelea na ujenzi sasa kunani pale na kama serikali inasema itafanya kigamboni ni sehemu ya utalii nasi wenye nchi tukaishi wapi? hii serikali hii ni yakipimbi kweli haina haki hata kidogo kazi ni wao tu na familia zao. hii nchi milele itakuwa hivyo hivyo wachini wachini wajuu wajuu wananchi zindukeni CCM ISHAOZAAAAAAA

    ReplyDelete
  9. NASHUKURU ANKAL KWA KUBRING UP ISSUE HII. NAKUBALIANA NA BAADHI YA WADAU. WATU WENGI WANAENDELEA KUJENGA KWA UBISHI LAKINI UKIWA NA AKILI TIMAMU HUWEZI UKAPOTEZA MAMILIONI KUJENGA NA USUBIRI SEREKALI IKULIPE FIDIA HATA SIKU MOJA. KWAHARAHARAKA ANGALIA WAATHRIKA WA MABOMU NA WALIOHAMISHWA AIRPORT. KINACHOFANYA SEREKALI NI UDHALIMU SIKU ZOTE...JE WATAWEZA VIPI KUUPIGA UMASIKINI BAADA YA MWANANCHI AMEJIKAMUA MIAKA YOTE NA KUJIPATIA KIBANDA HUKU SEREKALI INANGIA NA SERA ZA UTAPELI NA KUMRIDISHA NYUMA.????HAWA KWELI HAWASHIBI ILA MCHANGA WA KABURINI NDIO UNAWATOSHELEZA...NA UNA KIWANJA KIGAMBONI FUATILI HABARI KWANI UTASHANGAA SEREKALI WATAKAVYO NYAKUWA MAENEO KIULAINI.
    KUTOKANA NA KAULI YA RAISI KIKWETE ALIAHIDI HATOAMISHWA MTU...WAZIRI WA ARDHI AMEKAA NA NA KUPANGA NA KUJA NA RAMANI INAONYESHA WATU WATAHAMISHWA.!!!HADI MBUNGE WA KIGAMBONI KUJA JUU. INAONEKANA AMANI INACHEZEWA.INDIA MATATIZO YANYOENDELEA YA UGAIDI YANATOKANA NA WATU KUONA WAMEKATA TAMAA YA MAISHA...NA HALI HII ITAPELEKEA WATU KUSAWISHIKA MFUMO HUO...KWANI ITAKUWA HAINA MAANA MTU AISHI...ACHENI KUCHEZEA AMANI...

    ReplyDelete
  10. VICTOR KILEOJanuary 15, 2010

    POSTING ZA WABEBA BOX UTAZIJUA YAANI GAFLA UNAKULUPUKA SUPERVISOR KATOKA KIDOGO UNAINGIA KWENYE COMPUTER JASHO KILA KONA UNA POST PUMBA KUHUSU KIGAMBONI UNATAKA NINI KIELEWEKE WAKATIU WEWE NI MBEBA BOX?

    ReplyDelete
  11. Watu wa Kigamboni mnazuia harakati za kugawa maeneo mazuri ya nchi yetu kwa wakoloni I mean wawekezaji. Ondokeni Bush afanye vitu vyake.

    ReplyDelete
  12. Hii issue ya kuhamisha watu ya maeneo ya kigamboni ilisikika muda sasa ila mwelekeo ndio watu wanasubiri. Lakini pamoja na hayo kuna wengine ambao walisha ambiwa wasiendelee na ujenzi ila wanaendelea kwa makusudi kwa kufikiri kuwa watalipwa fidia kubwa....hio ni hatari kwa kweli.

    ReplyDelete
  13. Nyie! Kule kulikopimwa na serikali, kukatolewa "Offer" na "Right of Occupancy - Hati Miliki" hakuna matatizo yeyote! Ni kule ambako hakujapimwa haswa ndio big problem na issue! Kibada, Kisota, Toangoma etc ni miradi ya serikali kupimwa viwanja na kuwauzia serikali, lakini kuna maeneo mengine ni tata kidogo kama vile Vijibweni(maeneo fulani ya hapo na sio yote) bado kupimwa na tathmini yake ilitakiwa ianza mwaka huu. kama mtu ana shamba hapo basi vitakatwa viwanja na mmiliki wa hapo atapewa first offer ya kumiliki sehemu hiyo, at a price for Deed Plan Fee, Survey Fee,Land rent,, registration fee, stamp duty, premium(thamani halisi ya kiwanja serikalini), etc, au ataviuza vigezo hivi hapo nyuma vikizingatiwa. Mmiliki wa shamba akiwa na minazi, machungwa etc atapewa hela zake kutokana na tathmini ya serikali.

    Kwa hiyo basi; ushauri wangu ni kupata eneo liliopimwa au wanasema wenyeji eneo lililo kwenye mradi wa viwanja, and you should be fine.

    ReplyDelete
  14. Mbona ni kama balaa aunt yangu alibomolewa nyumba na wala hawakulipwa sijui waliambiwaga nini...barabarazikapauliwa..kajikokota wee wakaenda kujenga kigamboni. Wakibomoa bomoa tena si kumfanyamtu aone ulimwengu sio mwema...Lakini this time hamna noma huko kigamboni kama bagamoyo tu...watu wala hawatahitaji nauli kwenda kwenda bagamoyo...Watawaendea hao viongozi kigamboni tu wenyewe wataviacha hivyo viwanja....UTALII KIGAMBONI KUNA NINI HUKO JAMANI....PELEKA UTALII kunakoeleweka...yaani mtu apande dege toka florida aje dar kuangalia bahari? Watu wakija kwetu watataka kuona matembo na mlima klm that is it

    ReplyDelete
  15. saimini na SITAAMINI
    hapatatosha kabisaat his time walahi!!!uonevu siku zote una mwisho na unamalipo ngojeni mdhurumu watu muone nyinyi na kizazi chenu..ongeeni basi tusikie

    me ndo maana nawafagilia sana west afrika adabu adabu no uonevu wa kijinga-jinga,,,nyooo wanachimbana adi kinaeleweka na nchi zao ziko juu...

    huu wehu sasa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...