ATM inayotembea ya CRDB ikiwa mitaani. huduma hii imezindukliwa majuzi na habari za ufunguzi huo pamoja na mambo kibao ya CRDB.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh! wmejiandaa lakini kwa purukushani za wazee wa kazi?. wasiwe wanawaweka katia risk dereva na clue yake. Maana hiyo ni "mihela in motion"

    ReplyDelete
  2. Hizi gari ni bullet proof so hakuna shida

    ReplyDelete
  3. ebwanaeeeeeeee!!!! mi hii hapa kibongo bongo c sapoti naona mtawapa ulaji wazee wa kazi na naamini hilo gari watalilia mingo yani majambazi wenye silaha

    ReplyDelete
  4. bullet proof?? Wazee wa kazi wakija wanachukua chao.Ni lazima serikali iweke ulinzi wakati yanatembea

    ReplyDelete
  5. duu kazi ipo je?hilo basi lina tracking device kwa jinsi navyowajuwa waswahili hawachelewi kuliteka nyara hilo ATM bus

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...