Mtoto Queen Kinguti(kushoto) na Mwenzake Khalid Mgidos(kulia) wakiwakaribisha kwa maua Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Armando Guebuza kuendelea na muhula wa pili wa urais.
JK akisalimiana na mtoto Queen Kinguti(9) muda mfupi baada ya kuwasili jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Armando Guebuza kuendelea na muhula wa pili wa urais baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo mwezi Oktoba Mwaka jana.Queen ambaye wazazi wake ni wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji alikuwa miongoni mwa Watanzania waliojitokeza kumlaki Rais Kikwete na mkewe Mama Salma jana jioni.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hawa msumbiji wana utani mbaya sasa hayo ndo maua gani jamani utadhani yale yanayouzwa na wamachinga lol!

    ReplyDelete
  2. Hiyo suti ya JK nimeikubali. Huwa naiona hapa 3street New York katika duka la Mnigeria mmoja. Bei dola 1,450 taslim

    ReplyDelete
  3. uchikae,uchichutame wala uchichimame

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...