Anaitwa Mr Mim. Ni Mtanzania aishiye uholanzi na hapa anakuja Ali Kiba na Big Bylla from Burundi. Anakuambia kaa mkao wa kula album ya kuumwa mtu inakuja.
Home
Unlabelled
kutana na Mr Mim mbongo anayeendeleza libeneke uholanzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kazi nzuri keep it up!
ReplyDeletenimekubali...
ReplyDeleteMuziki umeenda shule, vijana wametulia! good job vijana.
ReplyDeletenimeikubali kazi yenu watoto wa the hague hakuna kulala
ReplyDeletehii nyimbo yaani nimeipendA SANaaaa
ReplyDeleteJamani tizameni waafrika wenzet wanavyotunga na kuimba katika fani hii ya muziki wa kizazi kipya duniani. Watanzania kila mtu anataka kuimba hata walio na sauti mbovu pia. Tena na watunzi wa nyimbo na muziki wake wote ni kichefu chefu kitupu.
ReplyDeleteJamaa anakwangua sauti kama alokula mhogo mkavu na nguru, lakini walioviziwi wanamsifia.
Jamani kuimba ni kipaji.
yani huyu mwanangu mwenyewe kabisa namkubali kinoma ni mkali ila watu wanabana nilishawahi kupeleka kazi yake kituo kimoja jina kapuni lakini wanaipiga kwa kujaribu sio vizuri kama kazi ya mtu nzuri kwa nini usimpe shavu?wabongo roho mbaya
ReplyDeleteHapa bado kabisaaaaa....tuletee nyinginr Michuzi, Nimemdharau mpk Ali Kiba.
ReplyDeleteAngalia song la Mr. Blue na kale kadogo, Linaitwa Dont let you go.
Angalia song la Ay Leo.
Hapo ndio tunaongea classic songs.
Mcheki Dully sykes au TID...au Q-chillah kidogo.
Kuna watu wanaimba by nature....bt hawa bado bado..
Big Up!Kijana
ReplyDeletewadau
FFU