JK akifunua kitambaa kuashiria kufungu rasmi daraja la Mto Simiyu,lililopo kati ya mpaka wa wilaya za Bariadi na Meatu, mkoa wa Shinyanga leo Mbunge wa Bariadi Mashariki John Momose Cheyo (kulia), Mbunge wa Kisesa Mh.Luhaga Mpina (kushoto pembeni ya Rais) pamoja na viongozi wengine wa vyama vya siasa na serikali wakishangilia mara baada ya JK kufungua rasmi daraja la mto Simiyu lililopo katika mpaka wa wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Shinyanga jana mchana.Wanne kushoto ni Mama Salma Kikwete.
JK akihutubia mamia ya wakazi wa kata ya Mwandoya wilayani Bariadi
JK akimtwika maji Bi.Amina Ramadhani Mkazi wa kata ya Mwanuzi,wilayani Meatu, muda mfupi bada ya kuzindua mradi wa maji wa wilaya ya Meatu,mkoa wa Shinyanga. Kulia ni Waziri wa maji na umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya na watatu kushoto ni Mama Salma Kikwete.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Karibu Nyumbani kwetu Mheshimiwa rais! Bila shaka utapapenda. Huko ndiko Unyantuzu kwenyewe kwa 'wajanja"!

    ReplyDelete
  2. Michuzi umeanza kampeni za 2015 mapema, nitakushitaki Tume ya Uchaguzi wakupe red card.

    (Us Blogger)

    ReplyDelete
  3. mheshimiwa rais kumbe na wewe upo katika gwaride la bongo tambarale,hii poa kabisa bongo tambarale ni bega kwa bega na wananchi,kama alivyoimba kamanda mkuu ras makunja wa ffu,ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...