Home
Unlabelled
JK ziarani shinyanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hayo ndio matrekta ya Massey Ferguson yanayofaa kwa KilimoKwanza maana yanaweza kumudu kazi ngumu za shambani hata miaka 50 bila matatizo makubwa.
ReplyDeleteMdau
WaKilimo Kwanza
WATANZANIA TUACHANE NA KIINGEREZA KWANI KINAONEKANA HAKIWEZEKANI. kama tunaoweza kuingia kwenye blog ndiyo hivi wale wasioweza itakuwaje?
ReplyDeleteMama salma anavyangalia kwa makini hapo mumewe alivyohug na huyo bibi
ReplyDeleteanon 0814 kiingereza kimetoka wapi?
ReplyDeleteWewe bwana 0814 kiswahili ni ,kiarabu,kiingereza na bantu dialec, hakuna swahili tribe
ReplyDeletethank you .
HABARI HII ILIPOTOKA KWANZA ILIKUWA KWA LUGHA YA KIINGEREZA NA SASA IMERUDIWA KWA KUTAFSIRIWA KWA KISWAHILI NA SI HII TU ZIPO NYINGINE PIA ZILIZOBADILISHWA KUTOKA KIINGEREZA KUWA KISWAHILI.
ReplyDelete