Mojawapo ya ujumbe wa ZINDIUKA katika kampeni ya kutokomeza malaria inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 13, mwaka huu kwa onyesho kubwa litakalofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kionondoni. Mgeni wa heshima anatarajiwa kuwa JK na kampeni hiyo itaendeshwa nchi nzima kuhamasisha kizazi kipya cha vijana kupambana na ugonjwa wa malaria ili kuifanya jamii iwe salama dhidi ya ugonjwa huo chiji ya uratibu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii na mradi wa kutokomeza maralia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...