Sporah Chating with Steve Kanumba
watch Sporah Show Every Monday,s @ 10:30pm on SKY 184 "BEN TV"
Most read Swahili blog on earth
Sporah Chating with Steve Kanumba
watch Sporah Show Every Monday,s @ 10:30pm on SKY 184 "BEN TV"
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh! sisemi naiona uchokozi wa kufungulia mwaka huoooo!!!
ReplyDeleteC'mon Kanumba, Inamaana hata kupatwa na msisimko kidogo tu huupati wakati unawachum hao mademu?
ReplyDeletekama hayakutokei hayo nina wasiwasi na wewe.
michuzi weeee i luv youuuu ur doing a professional jobu!! he heee mkuu wa nanihii upooo???? great jobu
ReplyDeleteI like that Kanumba,professional answers.
ReplyDeleteKudhungu jamani kidhunguuuuuu!! Mwe! ...mimi sasa nimechoka....kidhunguuuu! Kama kidhungu kinagonga hatutafika mbaliiii!! Si mpira si sinema kidhunguu tu! Wenzetu wanafanikiwa kwa sabau wanaongea moja kati ya lugha kuu saba.....Kama hatuta jua kidhunguu mjue always tutaonekana mbumbumbu!! Nimecheka sana tudei! Ni maswali comon sana lakini anashindwa kuelezea kwa sababu ya Kidhunguu!
ReplyDeleteWelldone naona tuition imefanya kazi vizuri sana. Kanumba ame-improve sana katika lugha ya kiingereza he speaks fluently. Very good Kanumba you are smart and super star for real! Keep it up onyesha uma kwamba kila mtu akijifunza lugha fulani ataiongea kwa ujasiri. Great job.
ReplyDeleteMdau wa Damu USA
Big up Kanumba. Nimefurahishwa sana na juhudi binafsi za msanii huyu. Ni mfano wa kuigwa na jamii ya kizazi ambacho pia kinataka au kipo katika sanaa.
ReplyDeleteInasikitisha sana pale ambapo jamii ambayo inatakiwa kuwasaidia na kuwapa moyo wasanii wetu. Ndo inakuwa mstari wa mbele kuwavunja moyo.
Nilisikitika sana kuona jinsi watu walivyoshadadia kuhusu Lugha ya Kiingereza.
Kanumba anaongea kiingereza kinachoeleweka kabisa. Big up bro, endelea kujituma. Utafika tu.
www.niftyeyeblog.com
duuh!! jamaa anaongea kinlish kipi huyooo hajui PRESENT wala PAST tense...K U nid 2 learn some INGLISHI
ReplyDeletebig up kanumba, ur level of english is good, thats all u need, u were not born english speaking but u learned and now ur all set, the sky is the limit for u dogo.
ReplyDeletekiswainglishhh hapo hamna lolote
ReplyDeleteni hayo tu
mdau mosii!!!
Kanumba when it comes to kiss someone usiseme kwamba wewe ni juma na sio kanumba no bado ni same person but unachopresent tu ni sanaa na kiss sio kitu cha kawaida tu kama unavyofikiri ni mojawapo ya challege. think before you replay your question
ReplyDeletemdau NDITI
MKURANGA
Jamani jamaa ameimprove and i think he will get better in years to come.Wabongo ambao hatujui vitu always ni kuponda lakini hii ni kasumba yetu ambayo tumerithishwa tangu tumekuwa maana katika majumba yetu mengine hata uwe wa kwanza darasani bado mzazi wako hatokupa sifa zaidi atakuambia kaza uzi instead of saying umefanya vizuri sana na ongeza juhudi.Kwa hiyo kwa kuwa tumerithi hivyo basi hatuwezi kusifia chochote kizuri ndio maana hata supastaa mmoja wa bongo alisema timu ya Ivory Coast si lolote akisahau kwamba hao Ivory Coast wamefuzu kucheza World Cup Final.Sasa wabongo tuwe na tabia ya kupeana moyo ili tupate mafanikio maana najua mrussia angeongea hapa na kiinglish chake kibovu tungemsifia ila huyu kwa sababu ni mmatumbi mwenzet tunaponda Cummon Guys
ReplyDeleteyooo waosha vinywa na macho mlio mponda kanumba basi na nyinyi tuyaone mafanikio yenu wekeni kanai blog hii tuona kazi kuwasema watu midomu kama juchungu, talk is cheap any body can do it hata tahira kama nyinyi ndo mnavyofanya.
ReplyDeletekizungu chake kiko super na amepiga hatua,mmewahi kuwasikia waghana,wanigeria,wa wengi wengi tu kutoka west wanavyo zungumza kizungu chao, wacheni nyinyi waosha vinywa na macho..
wakuja tu mko majuu mnajidai na kizungu chenu wakani wazungu wenyewe wanakuoneni nyanyi nyani tuu hata thamani hamnaa msidijai buree.
afadhali ya kanumba kajifundishia kizungu chake home nyinyi mmekuja hapa day worker na wenginewe mmebebe na wazee wenu au viskola ship mchara mchara ndo mnajidai hivi sana na kujiona wa maana kumbe wapi pumba tupu nendeni uko.
kwani kizungu siku hizi kina deal unatakiwa mtu ujue zaidi ya kizungu, kichini,kijapani,kiarabu, kitalianio etc uwe marketable.
washamba tuu wakuja mnatia kinya nyaaa na comment zenu za kumponda mwenzenu..
kama kweli wasomi au mnajua mambo wengine mambo yenu kama mwenzenu anavyofanya vitu vyake, wivu tu umekujaeni mnatamani mngepata nafasi ya kanumba..
let see you stuff and lets us judge you too..very ignorant people like you always you will be yepping yeppi your midomo mitupu
Kanumba eeh! congratulation my man your english is great compare to any of these stupid people, usiwa mind hata kidogo na vi comment vyao..
na michu michu weke comment yangu hii please my man.
Mi nafikiri anaeleweka. japo inaonekana wazi kwamba si lugha yake. Aliyetakiwa kumsaidia ni huyo presenter, ili interview iwe nzuri zaidi.
ReplyDeleteKanumba big up guy, yaani jamani wabongo sisi sijui tutastaarabika lini, wewe uliyemponda kanumba eti kidhunguuu umeniudhi sana. kanumba yuko juu, au niseme uko juu. juu sana, kiingereza safi, na kinaeleweka.wewe unaetaka sijui kidhunguu wakati tunakujua kazi yako unayofanya huku. Kanumba safi sana, wivu tu wa kijinga kupenda kuponda watu, wapondaji wote wanaeleweka, nyie hana dili. safi kanumba
ReplyDeleteUsikonde Kanumba watu watakuponda but 1 day u will b in Hollywood hata Hasheem Thabeet alipokuja USA kucheza kikapu wabongo walipiga madongo kwamba hatofika mbali ila sasa hivi kila mtu anajifanya kumfagilia so man keep ya head up Dream will come True
ReplyDeleteKwa kweli ni jambo zuri kuona wasanii wakipokea ushauri na kuufanyia kazi. Ni jambo jema sana!
ReplyDeleteEndelea kujitahidi Kanumba, umepiga hatua nzuri katika kutaka kuimudu lugha ya Kiingereza. Nakupongeza kwa kutokuvunjia moyo.
Nimependa majibu yako katika maswali uliyoulizwa.
Vyema hivi.
Inashangaza kuona kuna wanaomwandama Kanumba kwa kukosea tense moja au mbili sidhani kama hilo ni suala la kuzungumzia hapa. Nani kamsikia mtu akimshutumu Jose Mourinho au Fabio Capello kwa kutozungumza Kingereza fasaha? Kisha nani alosema kuwa Kanumba analenga kutoa somo la Kingereza. Ningeelewa lawama iwapo maudhuhi ya mazungumzo yangekuwa yakienda mrama - kitu ambacho hakikuwa.Kijana anafanya kazi nzuri na kwa umri wake anastahili pongezi na kutiwa moyo.
ReplyDeletei think kanumba is good in english than sporah.
ReplyDelete"let see you stuff and lets us judge you too..very ignorant people like you always you will be yepping yeppi your midomo mitupu
ReplyDeleteKanumba eeh! congratulation my man your english is great compare to any of these stupid people, usiwa mind hata kidogo na vi comment vyao.."
Both Kanumba and You need to polish your rap!It sucks!
Wabongo acheni hizo jamaa anaongea kiingereza nyinyi hamkuzaliwa na kuongea kiingereza mmejifunza na yeye anajifunza na atakuwa mbali na nyinyi mtabakia na aibu zenu za kukandia,na mngejua kiingereza sio watu wote duniani wanakijua nenda ulaya,amerika ya kusini,bara la asia watu hawajui neno moja la kiingereza.
ReplyDeletewell there is no need ya wasting ur time kumsema kijana wa watu rather we have to encourage him kwa hapo alipofikia as it is his efforts not our support in any of his work.
ReplyDeletekidhungu ts nat our language kwa hiyo Kanumba big up and keep it up, never mind pipo talking bad things about you take them as challenge kwa ur maendeleo
Haya jamani taireni watumwa waroho Kanumba kiingreza sio first language yake kwahiyo hapo alipofikia amefanya kazi nzuri sana,mnashangaa Kanumba haongei kiingereza kizuri au ndio hamjui kama kuna maraisi duniani hawajui hata kiingereza na wanazithamini lugha zao na wala hawapo tayari kujifunza kiingereza,watu wengine bwana wanaona kuongea kiingereza ndio big deal,hongera Kanumba usiwasikilize waosha vinywa wee songa mbele tu hapa watu wamekalia kurudishana nyuma na yote ni choyo tu kiukweli upo juu na kazi zako tunazifagilia.
ReplyDeletehivi watu mkoje kwani kuongea am kutokuongea kiingereza ni nini? Yani mkoloni aliharibu akili ya watumwa wake inasikitisha. Watu mku Negative kiasi hiki? Yani badala ya kujadili yaliyoongelewa mnajadili ubora wa kiingereza , kwa kweli ukombozi wa fikra bado kazi ipo. Na hata hao waandaji sijui ni kwa nini wanatumia Kiingereza kwenye nchi ambayo lugha ya taifa ni kiswahili na nadhani wapenzi na mashabiki wa kanumba wengi wao wanazungumza kiswahili sasa sijui kwa nini mawasiliano yanawekwa kwa kiingereza . JAMANI TUKOMBOKE FIKRA ZETU.TUSIPOJITHAMINI HAKUNA ATAKAYETUTHAMINI NDUGU ZANGU WATZ. Kaahaha
ReplyDeleteBadala ya kukoment kanumba kanumba ningewashauri nyie wabongo njaa mnaojifanya mnajua kiingereza mtafiti mwingereza mwenye lugha yake kama anabeza wasiojua kiingereza sembuse sisi tuliokutana nayo sijui form gani huko.kwenda zenu.
ReplyDeleteKwanza napenda sana kumpongeza huyu Dada yetu Sporah, kwasababu kazi anyoifanya ni nzuuuuri mmnnooo.. TUNAJIVUNIA TANZANIA.
ReplyDeletePili napenda kumpongeza Mzee Kanumba kwasababu anajitahidi sana hasa Kimataifa..
Tatu nampongeza Bwana Michuzi kwakutupa habari, ila sasa naomba BWANA MICHUZI hivi ndio vitu vyakutuonyesha kuhusu wakina dada walioko Ulaya, Ili watoto wetu hapa Tanzania waweze kujifunza na kuiga mifano mizuri. Hapa Tanzania its all about Mamis, Mamis wenyewe hawajawahi kulenda ushindi hata siku moja KAZI KUPOTOSHA TU WASICHANA NA MAADILI NA TAMADUNI ZETU.
Inasikitisha sana kuona wakinadada wakiTanzania kwenye maInternet WANAJIACHIA TU OVVYOOOOOO.
Huyu dada nae sasa anatakiwa arudi nyumbani akaifanye hii kazi Tanzania kutumia uzoefu wake wa Ulaya. Maana ameshakubalika kimataifa huyu, nimeangalia shoo zake youtube Anatisha na watuwanamkubali sana tu.
Aje Nyumbani jamani Atasaidia sana wakina dada wakitanzania waache kutembeza uzuri kwenye mainternet.
NNE: Makampuni makubwa hapa Bongo yanatakiwa yawanunue watu kama hawa waje nyumbani kuelimisha vijana maana hichi ni kipaji UNIQUE na ndio maana yupo Oprah Winfrey Mmoja tu, David Beckham Mmoja tu na Nchi zao wako proud of them.
Basi Tanzania wamnunue huyu Dada huko kwenye maTV yao yaulaya ili aje aelimishe jamii yake.
She is a very good role model kwa vijana wetu.
MMLEEVIIIIIIIIIII
BIG SPORAH KWAKUA MTANZANIA WAKWANZA EVER KWENYE TV ZA ULAYA... TENA TALK SHOW...
ReplyDeleteBIG UP KANUMBA KWAKUA MTANZANIA WAKWANZA KUINGIA NOLLYWOOD...
Je nyie mmefanya nini? Jamani acheni wivu na tuwasapot wenzetu maana hivi nivipaji vyao...
English kitu gani ili mradi wanaeleweka, nyie hizo hizo english zenu zinawapeleka wapi. WIVU ACHENI. PAKUSIFIA SIFIENI
Jamani Minimependa kilakitu hapo
ReplyDeleteKanumba is great, Sporah is professional sasa jamani mnabisha nini?
Mbona kilakitu nikizuri jamani kwanini waTZ tunakua na roho za korosho????
Tutafika kweliiiii
Kaka Michuzi sasa hivi ndio vitu tunavotaka kusoma kwenye Blog
ReplyDeleteHawa ni ma TRUE STAR
SPORAH YUKO JUU
ReplyDeleteKANUMBA YUKO JUU
MICHUZI YUKO JUU
wivu acheni
Ivi nyie Wabongo vipi? mbona mnaona kama english ndo kuwin maisha? hawa watu ni watanzania, english sio lugha yao. hicho wanachoongea kinatosha kabisa ilimradi ki naeleweka. kanumba ni mtanzania aliyotoka kwenye familia ya average sijui kuhusu huyo dada lakini hataka.. wanajitahidi
ReplyDeleteMaboss wangapi hapa bongo wapo maofisini na hawajui kuongea kingereza? Kanumba is good na nimfano mzuri sana kwa vijana hasa wiliotoka kwenye average family ambao ndio kinasisi. Haya nanyie mnaojua hicho KIDHUNGU chenu mbona hatuwasikii au ndio kazi UBISHORORO tu mjini hamna lolote
Hawa ni matrue star natunatakiwa tujivunie nao.
Watanzania acheni roho za kwanini.
Nahuyu dada kweli ingekua vizuri arudi nyumbani aielimishe nchi yake tatizo la wabongo wakishafanikiwa hivo hawataki kuja kuwaelimisha watu wao na ndio maana tunazidi kudidimia.Madem hapa bongo wamedata wanaitaji rolemodel, na hakuna zaidi ya Waleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
MKEREKETWA WA MAENDELEO