KIWANJA CHA KARIBU EKA MOJA KINAUZWA ARUSHA, KIPO KIJENGE MWANAMA MPAKANI NA NJIRO.
KIPO SEHEMU NZURI NA INAYOFIKIKA BILA TABU NA KIPO KARIBU NA BARABARANI.
KINA HATI NA DOCUMENTS ZOTE.
BEI NI TSH. 32 MILLION,
ILA MAELEWANO YA KUPUNGUZA
YAPO KAMA FEDHA IPO TAYARI.
Kwa mawasiliano ili kukiona au manunuzi piga
/tuma message kwenye number
0762560088
eneo maalumu eeeh?
ReplyDeletearusha noma ekari 1 iyo pesa?me nna ekari 3 sehemu zuuuri kabisa bei yake ni robo ya hii
Muhimu ni ukubwa wa kiwanja.. unaweza andika mambo mengi lakini kama haujasema ukubwa wake hapo inakuwa bure...
ReplyDeletehapo ni open space halafu panaonekana panamaji maji jamani be careful
ReplyDeleteIF U WANT TO PROVE THE FUTURE POVERT OF THE WORLD SEE THAT SO CALLED PRICE BUBBLE.A BUBLE IS AN AIR FILL IN WATER IT CAN BE EJECTED BY GRAVIY, IN SOIL WE TAKE BUBLE OF AIR BY METHOD OF COMACTION,ALSO IN SOIL WE TAKE SATURATED OR SOAKED WATER BY METHOD OF CONSOLIDATION. THE FACTIS TIME IS NOT A FUNCTION OF EXPENSIVE WORLD PPEOPLE FORGET THE PHILOSOPY OF MWALIMU NYERERE GRAIN OF A CORN WORTH THA A BAG OF MONEY.
ReplyDeleteNtashangaa kama kweli hicho kiwanja kipo Arusha kutokana hiyo picha. Labda macho yangu mabovu lakini mi naona minazi mingi.
ReplyDeletethats exactly the land and real estate bubble we have been discussing about. kwa mtu mwerevu hapo pahali panaka tindiga ,halafu kwa hiyo bei ebu angalia hiyo neighborhood. blaza for a smart person will only ofeer $3000. atmost.
ReplyDeleteWee mdau nina makazi sehemu hizo hiyo bei ni kubwa mnoo bado viwanja havijafika bei hiyo kaitka eneo hilo alafu hapo panaonekana ni tindiga, maji huwa yanajaa na hiyo ardhi inadidimia ndo maana ujenzi wa jirani umesimama kwa muda mrefu. Usitake kuwashikisha watu hicho kiwanja thamani yake ni chini ya 5milion! Bei hiyo ipo juu sana hata ukija kijenge chini unapata viwanja vizuri sehemu nzuri kwa milioni 5 hadi 11 na hiyo mpaka sehemu za Masai Camp! I grew up in Kijenge and I know all area including Mwanama and entire Olorien kuwa makini unapotangaza biashara! Nitakupigia simu tuongee may be I know you!
ReplyDeleteMdau wa Damu USA
kama kiwanja kinauzwa kijenge basi!!!
ReplyDeleteHizi bei za kutisha sijui zinatoka wapi, wakati umefika kwa watu kufunguka macho na kutumia fedha zao kulingana na thamani halisi ya mali. Ikiwa kiwanja kwa bei ya serikali haizidi milioni 10 T shs, kwa nini mtu binafsi anakurupuka na kutangaza milion 35. Watu inabidi watembee na kuangalia nchi nyingine jinsi watu wanavyothamini pesa zao wananua rasilimali kulingana na gharma halisi ambazo zimetathimiwa.
ReplyDeleteMh! Minazi Arusha sijawahi kuona kwa kweli...
ReplyDeleteTindiga hilo jamani be careful; na hiyo bei mwanangu au ulikuwa unamaanisa mil 3.5.
ReplyDeletemim nashangaa watu wanauza ardhi ya serikali wanajiropokea bei tu wakati wanajua hiyo ardhi sio yao ni mali ya serikali,hapo kama huna matumiz nayo gawa bure ufidiwe hayo majan bas utulie au kama unahati tukulipe garama za hati urudishe mali ya umma.
ReplyDelete