KIWANJA CHA KARIBU EKA MOJA KINAUZWA ARUSHA, KIPO KIJENGE MWANAMA MPAKANI NA NJIRO.
KIPO SEHEMU NZURI NA INAYOFIKIKA BILA TABU NA KIPO KARIBU NA BARABARANI. KINA HATI NA DOCUMENTS ZOTE. BEI NI TSH. 35 MILLION, ILA MAELEWANO YA KUPUNGUZA YAPO KAMA FEDHA IPO TAYARI.
Kwa mawasiliano ili kukiona au manunuzi
piga/tuma message kwenye number
0762560088.
Kaka kwa ushauri tu, picha muhimu,weka picha ya hicho kiwanja angalau iwasaidie waungwana wa libeneke hili waweze kuthaminisha.
ReplyDeletemdau unaweza kutuma matangazo yako bure katika web site ya http://www.swahilinet.com ili kupata wateja wengi zaidi
ReplyDelete