Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Kombe la Chifu Marealle, Hassan Kaniki (katikati), akiwaongoza wachezaji wa mchezo wa Pool, kumwombea dua Simba wa Vita marehemu Rashid Mfaume Kawawa, kabla ya mchezo wa fainali za mchezo huo kuanza mjini Moshi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Inapendeza sana pamoja na michezo lakini tunawakumbuka na wapendwa wetu waliolilea taifa....hengereni

    Asante kaka michuzi kwa kutuletea matukio haya ya nyumbani.

    ReplyDelete
  2. ok watanzania nielimisheni hapa, hii ni staili mpya ya 1 minute silent? i mean kufunga mikono kifuani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...