Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MAOINDUZI DAIMA!!1 AFTER 46 YEARS OF ZANZIBAR REVOLUTION, ni watu kuenda nje ya katiba kwa maslahi yao, jamani Hongereni kwa uongozi wenu ila muda ukifika msichanganye watu wapisheni wenzenu tuone nao watafanya nn.
    I'm proud to be part to be zanzibaries.
    MAPINDUZI DAIMA.

    ReplyDelete
  2. now this is taarab!!sio hizi za siku hizi watu wanakata viuno ovyoo somepple ruined taarab forever!!by calling it modern just to ruin it!!shame hongera zenj kwa mapinduzi!!mapinduzi daimaaa
    ZANZIBARIAN UK

    ReplyDelete
  3. kama ni mzanzibari inaniuma sana kuwa leo imefika miaka 46 ya mapinduzi na bado hatuna la kujivunia. hakuna umemem wala maji, hospitali hakuna dawa, elimu inazidi kushuka na kubwa zaidi kuna gap kubwa ya masikini na tajiri, ambalo marehemu karume aliahidi kulitokomeza lakini warithi wake wameshindwa.

    Kwa manufaa ya sherehe hii hebu ndugu zangu wazanzibari tujikumbushe misemo hii:
    1. Tutauza kwa vibati matunda tuyavunayo ili tuzidi kujitegemea (halikuwa hili)
    2. Tumesoma hatukujuwa, tumejifunza tumetambuwa. (kipi tulichojifunza?)
    3. Kazi ya dunia siku hizi, mwenye pesa ndio mwizi. (yep 100% culture taarab club hamjakosea)

    ReplyDelete
  4. ndugu zangu wazanzibari tuliopo visiwani! leo ni maika 46 tangu mapinduzi, nawaita vijana wenzangu wote kuacha uvivu na kuchangamkia maisha kwa jumla. kutafuta mbinu za maisha bila ya kitegemea serikali. tuwache mtindo wa kulaumu serikali kwa kila jambo. tumesahau kuwa serikali ni watu?! kwa hivyo zanzibar ni nchi yetu nasi ndio serikali. tuacheni uvivu na tufanye kazi kwa bidii, tuache tabia ya kukaa tu na kusema nani anaiba nini au ameiba nini, badala yake tuchukuwe hatuwa za kuweza kutokomeza kabisa hulka hii visiwani. wakati umefika wa kusema enough is enough wakati umefika kuwaonyesha viongozi kuwa tumewachagua kulipeleka taifa hili mbele na sio kuzidi kutuzamisha. wakati umefika wa kusema enough is enough asieweza hii kazi na akae upande, hatukuwapa uongozi, ubunge au uwakilishi wajinufaishe binafsi zao, wazanzibari wakati umefika tusahau tafauti zetu na kuijenga upya zanzibar yetu.

    Natuanze kwa ahadi ya kuwa
    1. tutafanya kazi kwa bidii na kutimiza majukumu yetu kazini kikweli kweli
    2. tutawataja hadharani wale wote wanachota mali za umma na tutahakikisha kuwa sio vyombo vya dola tu wanafahamu hili ila umma mzima wa wazanzibari,ili haki itendeke.
    3. hatutoogopa kumuweka hadharani yeyote mwenye kutumia wadhifa wake kwa manufaa yake binafsi.
    4. Hatutochanganya siasa na kazi.
    5. linaloweza kufanyika leo litafanyika leo. mtindo wa inshaalah tutafanya kesho ukome.
    6. Lawama ni mwisho, tunataka vitendo.
    7. Uongozi ni majukumu, sio sababu ya kuanza kuogopwa, heshima hailetwi na mtutu wa bunduki. kila atakae uongozi ajue tutamchuja kwa kila afanyalo, akitaka heshima yetu he has to earn it.

    Zanzibar nakupenda sana.

    ReplyDelete
  5. Hio video dakika 8.48 mnenguaji aende Uganda akadai haki zake na wenzake

    ReplyDelete
  6. huyu mjomba wa dakika 8:48

    ama kweli zanzibar njema atakaye aende.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...