Home
Unlabelled
libeneke la kudai uraia ugiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni hatari kwa afya za wanawake
ReplyDeleteJeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata shehena ya taulo za wanawake bandia maarufu kama Always zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 200.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Basilo Matei, alisema jana kuwa shehena hiyo ilikamatwa juzi nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu mjini hapa katika eneo la Baraa, jina tunahifadhi kwa sababu hatufanikiwa kuzungumza naye.
Matei alisema shehena hiyo ina maboksi zaidi ya 10,000 na zinadhaniwa kuingizwa nchini kutoka China na kusambazwa katika maeneo ya biashara kinyemela.
Aidha, Matei alieleza kuwa polisi walifanikiwa kukamata Always hizo bandia baada ya kupata taarifa kutoka kwa kampuni Procter & Gambo Ltd ya jijini Dar es Salaam ambayo ni wakala aliyeruhusiwa kuingiza bidhaa hizo nchini.
Alisema kampuni hiyo iligundua bidhaa hizo feki kujaa sokoni.
“Tulipata taarifa na tukaifanyia kazi na baadaye tukaweza kukamata shehena ya bidhaa hizo zikiwa zimehifadhiwa katika gahala nyumbani kwa mtuhumiwa,” alisema Matei
Kamanda Matei alieleza kuwa pamoja na kukamatwa kwa Always hizo mfanyabiashara huyo hakupatikana nyumbani kwake na ilielezwa kuwa yupo safarini nje ya nchi.
Nipashe ilitafuta wataalamu wa mambo ya afya ambao walibainisha bidhaa feki za aina hiyo kusababisha maambukizi ya magonjwa ya zinaa pamoja na fangasi ambao ni hatari kwa afya ya uzazi.
Daktari Baraka Mkongo alitaja magonjwa hayo kuwa ni (UTI) ambayo wadudu hushambulia mfumo wa mkojo hatimaye kwenye viungo vya ndani vya uzazi.
Mkongo alieleza kuwa athari za maambukizo hayo ni mbaya kwani huweza kuambukiza haraka na hata wakati mwingine huleta mitafaruku ndani ya familia kwani humbukiza haraka wakati wa kufanya tendo la ndoa.
“Wakati mwingine ndoa zinaweza kuvunjika kwani mathalani mke akiambukizwa halafu amwambukize mume atamtuhumu mke wake kutembea nje ya ndoa au wakati mwingine wote wawili hutuhumiana na kuleta balaa katika ndoa,” alisema Dk. Mkongo.
Kumekuwa na wimbi la kuingizwa nchini kwa bidhaa feki kutoka China, nyingi zikiletwa na wafanyabiashara wenye tamaa ya kupata faida ya haraka haraka.
Miongoni mwa bidhaa hizo zikiwa na thamani ya mabilioni zimekuwa zikiteketezwa nchini baada ya kumatwa nchini kufuatia operesheni zinazoendeshwa na Mamlaka za Chakula na Dawa (TDFA), Shirika la Viwango nchini (TBS) wakishirikiana Tume ya Ushindani wa Kibiashara (TFCC).
YAANI KUNA WATU WANASOTEA PAPERS ZA GREECE?WOW!NILIZANI NI SS TU TULIOPO USA NDO TUNASOTEA KUMBE HATA UGIRIKI?THATS BIT REDICULOUS COZ THERE'S BUNCH OF GREEK PEOPLE IN THE USA STRUGGLING TO GET THEM PAPERS
ReplyDeleteJumuiya ya wabongo tuelezeni vizuri inakuwaje mnahamia nchi ya watu halafu mnaandamana kuitwa raia wa huko? Hakuna utaratibu rasmi wa kuwa Mgiriki ukitaka?
ReplyDeleteHiyo ni sawa na kama Wasomali wanaoishi bongo wakiamua kuandamana kudai uraia wakati tuna utaratibu wa kuomba uraia. Tuelezeni vizuri vinginevyo inaonekana vurugu tu
Ni 'JUMUIYA' na siyo 'JUMUHIYA'.
ReplyDeleteheeeeeeeeee kabisaa unajitoa apa na lipicha lako eti nn?
ReplyDeleteebu usijiite mtanzania km ndo mwaandamana kudai uraia wa uko
kushangaa mwisho mara moja mdau hapo juu kila mtu na choice yake kuna watu wanasota kupata uraia wa bongo! mwingine wa kenya mwingine wa iraq mwingine afghanistan!!!
ReplyDeletemsaada kwenye tuta mbongo akipata uraia wa states akisema mmarekani popote pale watu hawashangai kitimtim kinakuja akiwa na uraia wa china then aseme mimi ni mchina je hii imeekaaje??
ReplyDeletemdau wa Wed Jan 27, 12:32:00 PM kwani mchina alo raia wa tanzania imekaaje?
ReplyDeletendugu wa USA soma habari vizuri kisha uwelewe na wewe umekuwa kama hao wa america washamba tunao humu,akitoka nje ya nchi basi mwanajeshi au weupe ndio wanatembea kwakuwa wana uwezo,wao wanajua us tu,sasa hii ni maamuzi ya mtu anachagua vile ataishi na wapi,waliokuwa greece,usa na kwingine sawa kila mtu anaangalia maslai yake,ushafika alabama? umeona maisha yao,hata hiyo new york homeless wengi tu na usa nadhani inaongoza kwa homeless.
ReplyDeleteRudini kwenu, sasa mmeanza kuandamana kudai urai? njooni bongo nyumbani bado kuna maeneo mengi yaliyo wazi.
ReplyDeleteNdugu zangu wabongo!
ReplyDeleteMnaangaika na kutafuta uraia wa ugiriki wakati nchi yenyewe hiyo imefilisika soon inatangazwa official bankrupt ,halafu wanataka kuwatoa kwenye umoja wa ulaya kwasababu wamesababisha kutelemka kwa euro na kufikia record tangu iwe official currency...
kwahiyo kaeni chonjo hilo ni kanya boya..
Mdau wa Moscow
theethee ya kalou isou izmu ala polii discola,tikane tora apo elaza filouw,zamani majuu tulikuwa wachache tena tuna juana wala mambo ya kuandamana nchi za watu hayakuwako,tatizo dada zetu kutulazimisha wajomba zenu msiwaache ndio matokeo yake haya,MOSKARI,BUMBUNA KACHIKI,GURUNYE TOU IDHIO!!!!!!!!!
ReplyDeleteRudini nyumbani, huku watu bado hawajamaliza malalio yenu kijijini.
ReplyDeleteMdau
Kijijini Boko
sasa hili ni sooo au kasheshe,wenzenu uku bongo hatutaki watanzania wenaodai uraia wa nchi mbili,nyie milioko ugiriki mnadai mpewe uraia!
ReplyDeleteYaani nyie mnataka kuukana utanzania halafu bila aibu mnajitia humu kuomba maoni/support zetu.
ReplyDeleteUshauri wa bure ni kwamba mrudi nyumbani, jembe lipo mashamba yapo. Kama Anon alivyosema hapo juu ni kama vile tuone Wahindi na wasomali wakiandamana kudai uraia wa Bongo. wakati yule Professor Mjamaica aliyejitolea maisha yake kwa kufundisha vyuo vikuu UDSM na Arusha mpaka anafariki dunia hakupewa uraia.
Hii ni sawasawana utukane wazazi wako halafu uombe maoni yao. Na maoni yetu ni Rudini Home! we still love you
wote mumeongea pumba, kuna mmoja tu ndio alienda shule vizuri ndio maana mwerevu , poleni sana hehehehehe. mshambulizi wa greece
ReplyDeleteKakak Michuzi Naomba nitumie akili yangu niliyopewa na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwapa ushauri wa Bureeee wale Watanzania wote waishio nje ya Nchi na hasa wanaotegemea kuomba uraia wa huko wakijua ni deal.
ReplyDelete(1) Napenda kuwaambia kuwa siyo deal tena kukimbnilia USA, Canada, UK, hata huko Ugiriki eti kutafuta Maisha na hasa kuomba uraia ili mambo yawe OK,
(2) Bongo siku hizi imenyooka, wadau wanatengeneza hela kila dakika, watu wanakwea mapipa kwenda Singapore, Dubai, malaysia etc na wanafanya biashara ambazo zinawalipa muno,
(3) Its a big shame eti Mtu mzima na akili yako Mtanzania unaandamana kuomba Kulazimisha Uraia wa nchi nyingine (UGIRTIKI)???
(4) Mimi niko nje lakini sijaona deal yeyote hata maisha huku ni soo watanzania na wageni wengi wanafanya kazi kama punda, wanalala masaa machache, wanapata pesa mingi lakini zote zinaishia kwenye kulipa BILL ndo maana hawawezi kurudi nyumbani hata mara moja kwa mwaka kama wamangi wanavyokwenda kwao Moshi,...This is a fact.kama kuna anayebisha ajitokeze....Watanzania/Wageni walio OK ni wachache sana wenye kazi za kueleweka........
(5) Kaka Michuzi naomba utafute wataalamu wa "Ushauri Nasaha" kwa hawa Watanzania ambao wameshikwa na ugonjwa wa kulilia kuwa Raia wa Nchi nyingine...waelimishwe kuwa Tanzania waliokuwa wanaijua mwezi Disemba 2009 si ya leo hii wakati haya maoni yanarushwa hewani... Bongo pako OK sasa acheni utani..Bongo iko Pesa , watu wako OK pamoja na matatizo ya miundombinu, umeme na maji ila maisha ya wadau yako safi kuliko hawa jamaa wanaolala masaa mawili kwa kuunganisha kazi kama watumwa...
BONGO is a DEAL......Michuzi hebu wape ushauri Nasaha...waelewe...Mimi najiandaa kurudi home kutengeneza noti kwa kuwa hata mkulima...Kaka Michuzi,
AIBU KWA KIJANA KUANDAMANA KULAZIMISHA KUPEWA URAIA WA NCHI YA KIGENI....BIG SHAME
Mdau hapo juu unayetaka watu warudi Bongo wakati wewe mwenyewe upo nje, tukujue ni akili finyu kidogo au unakula haba sana huko ulipo?
ReplyDeleteMaisha ya siku hizi, kokote ni sawa tu. Kama Bongo unaweza kuishi vizuri ishi, kama huwezi katafute sehemu nyingine ya kupata maisha bora. Kung'ang'ania nchi moja ni ujinga wa karne ya 21.
Waingereza wengi wamekimbilia uarabuni, je, kwao shida? Kuna Wamarekani wengi China leo, vile vile sio shida iliyowaleta ili maisha na kazi.
Kwa hivyo, acheni kutuita turudi, sio wote tunafanya kazi zisizolipa kama viel sio wabongo wote wana kazi mbaya nyumbani. Dunia ya leo ni ndogo mno kukaa katika kona moja.
Mdau wa Moscow anayesema Ugiriki itafukuza EU karibuni, jaribu kusoma mambo ya EU kabla ya kuropoka. Greece haitafukuzwa kwa kuwa ukiwa memba hufukuzwi tena Sio lazima hawa wabongo wanataka kuishi Ugiriki, pasi za EU zinawaruhusu waishi nchi 25 za jumuia ya EU bila matatizo yoyote.
Mwisho, mtu yoyote anayesema kuwa pasi ya Bongo ina thamani, hajasafiri nje zaidi ya Dubai. Lazima ujitayarishe miezi miwili kabla ya kuondoka na pengine usipewe viza. Unajaza makaratasi chungu nzima, bank sattement, barua ya kazini na kadhalika wakati masikini wa nchi tajiri anakuja ubalozini kwetu au uwanja wa ndege na anapewa viza yake siku hio hio bila ya kuonyesha kitu chochote zaidi ya ticket ya ndege. Huu ndio ubabe wa pasi ya nchi tajiri.
Ubalozi wetu nje hauwezi kukusaidia na kitu chochote zaidi ya kujisajili. Huwezi kupata pasi mpya kama imekwisha muda ukiwa masomoni wala kupata mpya ukiibiwa. Saingine nashangaa wanafanya kazi gani zaidi ya kutoa viza na kupokea misaada.
Rudini nyumbani jamani, mnapata taabu bure kujibebesha mabango nchi za watu. Wenyewe hawataki mnawalazimisha!?. Ina maana na hapa Bongo uraia utoke tu kwa wachina waliojazana kariakoo wanasukuma mikokoteni. Fikirini kwanza au kaeni hivyo kwa Visa za kuongeza ongeza.
ReplyDeleteHizi ni salamu zangu
Mdau Jan 28 04:24 AM umefanya vizuri kuzitaja nchi ambazo Pasi za Bongo hazihitaji viza ubalozini kwao.
ReplyDeleteJaribu kwenda ubalozi wowote wa EU na pasi yako, halafu rudi hapa utuambie wanahitaji nini mpaka upate viza. usijisifu kwa kuwa kuna baadhi za nchi bado wanatupa viza airport zao.
Pia, kwa nini unatuambia turudi wakati mwenyewe upo nje ya nchi? Kama bongo tambarare kwa nini wewe upo nje? Tusichuzane hapa.
Bongo ni ya mafisadi (kuna mkubwa yoyote unayemjua kawekwa ndani kwa kuiba mali ya umma?), at least hapa Ulaya na elimu yangu ya chuo kikuu maisha yangu ni bora na watoto wanapata elimu ya maana, haki yangu inaheshimika na kura yangu ina sauti.
we mdau wa usa.tembea uone sio umetoka bongo to us. ujawahi kufika nchi nyingine yeyote kwa hiyo akili yako bado ina giza. watu wanaishi ppte na mambo yao safi na wana fanya vitu vyao bongo vya uhakika hao wanyamwezi wenyewe wapo kibao pale greecce wanatafuta ajira. angalia mpango wako!
ReplyDeleteKwa nini? amuitiki wito wa kamanda wa ffu wa Ngoma afrika ras makunja,kuwa bongo tambarale?rudini nyumbani mshaimbiwa BONGO TAMBARALE
ReplyDeleteKWANZA NAANZA NA MWANANGU MUNGI,
ReplyDeleteKAKA NENDA MBIO UWEKE SAWA BOOK LA HAPO.
SASA NAKUJA NA MDAU WA USA,KWANZA KABLA UJAPONDA SEHEMU WEWE UMESHAFIKA UGIRIKI???NA USA UNAISHAI STATE GANI ???
TUMESHAISHI STATE NA TUMESHAISHI UGIRIKI.MAISHA YA IGIRIKI NI POA KABISA KAMA UJUI NA WATU KULE SIO USINGIZI KAMA UNYAMWEZINI.
HIYO NAZANI ULIKUWA UJUI.
KARATASI YA MAREKANI ZAMANI KABLA YA BUSH ILIKUWA NA NGUVU...SASA HIVI KARATASI YA ULAYA INATESA DUNIANI KULIKO MMAREKANI UJUI HIYO...
NA WEWE UNASEMA BONGO POA NA BADO UKO ULAYA...ACHA WEWE...TOKA LINI DUNIA YA TATU IKAWA POA.?????RUDI BASI.
TAFUTENI MAKALATASI WANANANGU KWANI HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUPANGA FOLENI YA VIZA.
MDAU MONEY UK.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteNijitahidi kusoma maoni ya wadau hapo juu na kimsingi nakubaliana na kila mmoja wao kuwa dukuduku au maoni yake ni sahihi. Hakuna aliyekosea kwani kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake. Pia nakubaliana na wote wanaotaka kubadili uraia kutoka nchi yao ya Tanzania kwenda nchi yeyote ile ya dunia hii ili kupata kile kila mmoja anachoamini kuwa ni "maisha bora"...
Tatizo langu ni moja tu ambalo kaka Michuzi naomba nielweshwe..."Hivi kupata Uraia wa Nchi fulani ni lazima Uandamane na Mabango"...Sina uhakika kama Uraia wa nchi yeyote ile unapatikana kwa kulazimisha''' Ni kama Visa kila nchi inayo haki ya kutoa au kutotoa visa kwa Raia wa kigeni kwa sababu zao binafsi na bila kuulizwa au kulazimishwa na raia au serikali ya nchi husika...
Naomba hao jamaa wa walibeba Mabango na wasomaji kutoka kila kona wanisaidie kama ni utaratibu kudai uraia wa nchi fulani kwa kuandamana.....Hili naamini ni fujo tuuu...Bora yale maandamano ya vijana kule chuo kikuu na hata haya ya wanasiasa maana naona wanaeleweka. Ila hawa jamaa "Watanzania" wanaondamana na mabango kudai Uraia wa nchi nyingine siwaelewi... kama watu wanafuata taratibu za nchi husika mf. kujaza hayo makaratasi na kufuatata taratibu zote na kupewa uraia wa nchi mimi sina noma nao kabisa na nadhani wako OK.
Naomba ushauri