WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO MH. GEORGE MKUCHIKA (KATIKATI) AKIONESHA GAZETI LA LEO TENA KWA WAANDISHI WA HABARI KWENYE UKUMBI WA WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO, KATIKA KUELEZEA SABABU YA KULIFUNGIA GAZETI HILO MOJA KWA MOJA BAADA YA KUCHAPISHA PICHA AMBAYO HAIENDANI NA MAADILI YA MTANZANIA. KULIA NI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI BW. CLEMENT MSHANA NA SHOTO NI MSEMAJI WA WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO BW. JACOB TESHA . WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO MHE. GEORGE MKUCHIKA AKIONESHA GAZETI LA KULIKONI KWA WAANDISHI WA HABARI NA WAKATI AKIELEZA SABABU YA KULIFUNGIA GAZETI HILO KWA MUDA WA SIKU TISINI BAADA YA KUTOTIMZA MAADILI YA UANDISHI WA HABARI. KULIA NI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI BW. CLEMENT MSHANA NA KUSHOTO NI MSEMAJI WA WIZARA YA HABARI, UTAMDUNI NA MICHEZO BW. JACOB TESHA.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. HII PCHA AMBAYO ILIVUNJA MAADAILI YA UCHAPISHAJI , SASA INAKUWAJE MUHESHIMIWA ANAIONYESHA HAZARANI SI ATAKUWA ANAVUNJISHA MAADALI ZAIDI.HII SHERIA YA USHAHIDI INA UTATA SANA.

    ReplyDelete
  2. Nzako MingoJanuary 09, 2010

    Nyinyi wenyewe mbona mnawafanyia michezo kula kukicha mbona hamjifungii au kwao mchafu kwenu msafi kenge wakubwa.tutaendelea kuandika habari kama kawa nyinyi mkiju hivi na sisi tunajua hivi

    ReplyDelete
  3. Oh wow. Hahah I remember back in the day when I was in high school and we would buy those raunchy papers and read all the gossip and nonsense and raunchy stories. I might be mistaken but i think it was called Ijumaa back in the day. It was the highlight of my fridays! But I think they've taken this too far.
    Kuna mtu anayo website ya hayo magazeti? do they even have websites?

    ReplyDelete
  4. goggle globalpublisher.tz ndio zipo huku ila aliyesema wamevunja na wao maadili ya kuonesha ni kweli ila Kuwekwa mbele si kitu kizuri kwenye page watoto wanapita barabarani wanaliona gazeti. Kengine mie naona Malaya barabarani waanze kutolewa na kuhukumiwa kifungo kikubwa na bakora juu, Na Pia tuwache kuonesha waliokamata Majambazi kwenye TV, tunachotakiwa nikuwaonesha majambazi waliofanya. Hao hapo pia washitakiwe kuonesha picha hazarani kama hivyo. KIMARO.

    ReplyDelete
  5. Haingii akilini hasa zama hizi za utandawazi, that is news, IT IS TIME NOW TO CALL BLACK, BLACK NOT WHITE

    ReplyDelete
  6. SHERIA INAYOPINGA PICHA ZA NGONO IMEPITWA NA WAKATI. PICHA ZA NGONO ZINAPATIKA KWENYE MITANDO KIRAHISI TU SASA. SIKU HIZI WATANZANIA WENGI WANACOMPUTER MAJUMBANI NA LINKS ZA INTERNET HIVYO WANAWEZA KUANGALIA PICHA ZA NGONO KIRAHISI TU.

    SASA SIJUI SERIKALI ITAFANYA NINI KUZUIA HILI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...