

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUU NI UKAMANDA WA KITU GANI? JAMANI WATU BADO WANA ZILE MENTALITY ZA ZAMA ZA CHAMA KIMOJA..JE KUWA KAMANDA INA UMUHIMU GANI KWA WATANZANIA?
ReplyDeleteHivi kwa nini kila mara unapokuwa ni mwaka wa uchaguzi, UVCCM huteua makamanda wao tena ambao ni wabunge waliopo au wale wanaoutafuta ubunge. Jambo hili huwa linaleta mtafaruku ndani ya CCM kuliko. Hivi ina maana mtu unaechaguliwa kuwa Kamanda ni automatic utapigiwa kura ya maoni ya kuwa mgombea kwa niaba ya CCM? Tumeshuhudia juzi juzi wakati mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Elisa Mollel alipoachwa kuchaguliwa kuwa Kamanda alivyosababisha vaga kwa vile aliyechaguliwa Ndugu Mideye kaonyesha nia ya kugombea ubunge.Nini hii
ReplyDeletesasa huu ukamanda tena wa kazi gani jamani
ReplyDeletembona mnataka kutuua njaa tu .kiru na mashisha!!! mimi nazani tanzania tupo hivi kwa sababu wote si ni wageni tumechanga nyika changanyika wazawa awakusoma adi leo wanacheza ngoma.humu ndani kuna wa south , wakongo, wanalawi ,wakenya, WA ZENCHI,WAKAMEROONI ,WAPOPO,.CHUKUA TAPIA ZA WATU WOTE AWA NDO SISI WA BONGO .HIYO NDO ROOTS ZA WAZEE WETU
Nawapongeza na ninawatakia heri viongozi na wanachama wote wa CCM. CCM ndiyo chama pekee Tanzania kinachotuunganisha watu wa makabila, rangi na dini zote TZ. Lakini lazima tuwe more serious katika kuitekeleza ilani yetu. Wapinzani wana haki ya kujieleza, lakini wameshindwa kupendekeza programu yako ya ujenzi; badala yake, kazi yao kutukana, uongo kujenga chuki na ku"whine and ramble". Mungu ibariki CCM. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika!!!!!
ReplyDelete