Home
Unlabelled
mama kikwete aandaa mnuso wa mwaka mpya kwa wenza wa mabalozi (sherry party) leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mfano huo mzuri kabisa wanawake ... nguo sio lazima ziwe za ulaya nasie tujaribu ku PROMOTE vitu vyetu kama tunavyomuona mama kikwete anavaa tu vitenge au kanga hataki makuu. Na mama/bib yetu mpendwa mama maria nyerere, mfano bora sana.
ReplyDeleteRIP Mwalim
Asante Dada Shadya umependeza na umetoka vizuri na kivazi ulicho kivaa ,kipo Tafauti na kivazi cha Ki Nigeria
ReplyDeletesafi sana kinamama wote hapo,jamani tanzania hatuna vazi rasmi la taifa so tutavaa vazi lolote tu,kama kinaijeria,kiganda,kihindi,kimasai nk
ReplyDeleteWIZI MPUTU.
ReplyDeleteRESPCTED TO ALL OUR MAMAS. WE THANK YOU FOR ALL INFINITELY.. YAANI PASIPO KIKOMO
ReplyDeleteNimeangalia mara mbili mbili picha ya mwanzo na ya mwisho na nina hakika kuna wanaume (mzungu picha ya juu, mwafrika picha ya mwisho), jee hawa pia ni wake wa mabalozi? teh teh teh
ReplyDeleteAnon wa 02.41 alieandika title ameandika "wenza wa mabalozi" na sio wake wa mabalozi. Hivyo kama balozi ni mwanamke mwenza wake kwa kawaida ni mwanamume
ReplyDelete