heri ya mwaka mpya!
Nakutumia taswira hizi za mdau wa libeneke Adam jr. (kati) wakati akiwa vekesheni Dubai wakicheza na samaki pomboo (dolphin) na wanavekesheni wenzie katika hoteli ya Atlantis, mojawapo ya hoteli kubwa za kitalii DUBAI.Watu toka mataifa mbalimbali huja hapo kwa vekesheni.
nawasilisha.
Mdau Adam sr.
mh kumbe dolphin ndo anaitwa pomboo kwa kiswazi lol hili jina halina mvuto duh ha ha ha oooiiiiiiii
ReplyDeletemanka wa canada