Timu ya Taifa ya Ivory Coast mnamo dakika ya 39 imezitikisa nyavu za timu ya Taifa Stars, mfungaji akiwa ni Didier Drogba wa Chelsea kwa kichwa baada ya kuunganisha majalo ya Emerse Fae.
Kwa uhondo zaidi wa picha na video vuta subra kidoogo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. issah vipi tunasubiri hizo picha tuone tulivyopigwa hicho "kimoko"aidha tujulishe soka lilikuaje yaani KIWANGO cha JK BOYS je meximo anajipya au ndo utetezitu toka juu

    ReplyDelete
  2. Drogba Oyeee!!

    ReplyDelete
  3. Mchango wako lazima serikali itambue... lakusema sina mie natuliza na bia...shukrani

    mbeba box

    ReplyDelete
  4. Ni vyema sana kuwa utatupasha habari kemkem kutoka hapo nyumbani. KEEP IT UP!!!
    Tatizo kubwa ni kuwa hutuhabarishi kwa wakati muwafaq hadi hamu inapotea, kwa mfano kama hii game yetu na ufukwe wa pembe ya ndovu!!! Tuwahishe broooo pleaaase!

    ReplyDelete
  5. Jamanie eh! mbona njia panda?Stars gani sasa wanacheza na Ivory coast?Harambee stars au Kilimanjaro Stars?Vipi watacheza lini na Zanzibar Heros?

    ReplyDelete
  6. Haya mambo ya uzanzibari na uzanzibara hayasaidii kujenga soka ya nchi yetu. Kuna wachezaji kutoka pande zote wanacheza katika ligi za pande zote. Waliocheza leo ni Taifa Stars, timu ya taifa ya Tanzania inayoundwa na wachezaji wa pande zote za Tanzania kuanzia Mpitimbi, Songea mpaka Mchambawima huko visiwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...